Tuesday, August 23, 2011

INALILAHI WAINA ILEHI RAJIUNI-HAYA ATI AJALI YA GARI KWELI LAKINI..?

Mbunge na vile vile ni mwakilishi wa uzini Musa Khamis  Silima amefariki dunia katika hospitali ya muhimbili, alikokuwa amelazwa kutokana na ajali mbaya ya barabarani aliyopata jana asubuhi, ambapo mke wake Mwanaheri alifariki dunia palepale. ajali hio ambayo imetokea  Dodoma juzi usiku  mbunge huyo ambaye pia ni mwakilishi alijeruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya muhimbili na mefariki dunia leo asubuhi Mungu azilaze roho za marehemu peponi amin. haya huyu kashatangulia mbele ya haki na mola atamuliza yote aliyoyafanya hapa duniania na pia aliutumiya vipi uwongozi wake wabunge muliyo lala amkeni maana hamujuwi na nyinyi lini mutatangulia huko kwa m/mungu.na kawaida hakuna ati ngoja kidogo ni sign hizi karatasi wala ngoja kidogo niwaa ange watoto wangu yakija yamekuja tu mauti.basi na nyinyi jisafisheni kwani haya maisha ya hapa ni kupita tu mambo ni huko tunako elekeya ndio kwenye kasheshe wanavyojisemeye watu wa tanganyika.
Shughuli za bunge zimeahirishwa, baada ya spika kuwatangazia wabunge kuwa  mh Musa amefariki dunia.

NAJUWA M/MUNGU NDIO KATAKA ROHO YAKE NDIO KAFA HUYU MBUNGE NA MKE WAKE PIA NAWAPA POLE SANA FAMILIA YAKE NA DUNGU NA JAMA  NA MARAFIKI ZAO PIA NAWAPA POLE WOTE SANA SANA.
SASA LAKUJIULIZA AJALI HIYO ILIKUWAJE..?AU NDIO ZIMWI LA DODOMA LISHA ANZA KAZI YAKE YA KUTAFUNA WABUNGE.....?