DIKTETA PRIERRE NKURUNZIZA AKIWA NCHINI TANGANYIKA KWA WAKOLONI WEUSI KUTAFUTA NJIA YA KUTULIZA WANANCHI WAKE VIJIMBWA VYAKE VINAPEWA KICHAPO CHA NGUVU NA RAI WEMA NA JESHI LISHAMPINDUWA
Duru kutoka Burundi zinasema kuwa raia wameshajitokeza mabarabarani wakishangilia kauli hiyo ya ”Mapinduzi”
Meja Generali Niyombareh amesema wamechukua hatua hiyo baada ya watu wa Burundi kukataa kwa kinywa kipana awamu ya tatu ya urais wa Nkurunziza.
Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa nchi ya Burundi.

Jenerali huyo aliyetimuliwa na Nkurunziza mwezi februari anasema kuwa Nkurunziza alishindwa kuheshimu mwafaka wa amani mbali na sheria za kimataifa.
Moja wa wandishi wetu aliyeko nchini Tanganyika jijini Dar es Salaam aliyekuwa anafuatili kuhusu Dikteta Pierre Nkurunziza kuja kwake nchini Tanganyika kupata suluhu na wananchi wake ambao hawamtaki tena anasema kuwa ndege ya Dikteta Nkurunzinza imepaa ikielekea Bujumbura
Kiongozi wa ”Mapinduzi” kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid Niyombare ametangaza kufungwa kwa mipaka na kuzuia ndege hiyo ya Raisi Kutua nchini humo.
Kiongozi wa ”Mapinduzi” kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid Niyombare ametangaza kufungwa kwa mipaka na kuzuia ndege hiyo ya Raisi Kutua nchini humo.
Mwandishi wetu mwengine aliye nchini Burundi jijini Bujumbura anasema kuwa taa katika uwanja wa ndege zimezimwa na ndege haziruhusiwi kutua kabisa.
ASKARI WA BURUNDI ALIYE KATA KULINDA WANANCHI NA KUMLINDA DIKTETA PRIERRE NKURUNZIZA WANANCHI WAKIMUONYESHA PEOPLE POWER ASKARI HUYO.
KIBANO MTU CHEZEA WARUNDI
WANANCHI WAKIMPA SOMO WEWE NINI UNAHADAIKA NA MANGWANDA
ASKARI WAKIMSAIDIA ASKARI MWENZAO BADA YA KUPATA KIPIGO CHA NGUVU
ASKARI WAKIMSAIDIA ASKARI MWENZAO BADA YA KUPATA KIPIGO CHA NGUVU
BADHI YA WANDAMANAJI WAKIZUIYANA WASIMBIGE POLISI HUYU KWAKUWA NI MWANAMKE
POLISI WAKIJIKUTA KATIKA HALI NGUMU YA KUTAKA KUPEWA KIPIGO
POLISI UTABANI KWA KIPIGO
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment