Tuesday, May 19, 2015

WANANCHI WA NCHI YA TOGO WANANDAMANA KUTAKA RAISI WA NCHI YAO AJIUZULU HARAKA SANA


HUYU NDIO DIKTETA WA NCHI YA TOGO AMBAYE YUKO MASHAKANI NA WANANCHI WANATAKA AJIUZU MADARA HARA SANA WANDAMANAJI WAMEAMUWA KUANDAMANA UCHII


MOJA KATIKA WANAWAKE WANAO ANDAMANA NCHINI TOGO KWA KUONYESHA SEHEMU ZA SIRI ILI RAIS WA TOGO AJIUZULU MADARA NA SEREKALI YAKE YOTE

WAKINA MAMA WANAO ANDAMANA ILI RAISI WAO AJIUZU WA TOGO

MOJA KATIKA WAKINA DADA WALIO ANDAMANA ILI RAIS AJIUZULU HUKO NCHINI TOGO

MAANADAMANO YANAENDELEA

MAANDAMANO YANAENDELEA

MAANADAMANO YANAENDELEA NCHINI TOGO KUTAKA RAISI AJIUZULU HARA

MAANDAMANO YANAENDELEA HUKO NCHINI TOGO KUTAKA RAISI AJIUZULU HARA

MAANDAMANO YANAENDELEA NCHINI TOGO KUTAKA RAISI AJIUZULU HARA

MAANDAMANO YANAENDELEA  NCHINI TOGO KUTAKA RAISI AJIUZULU HARA

MAANADAMO YANAENDELEA HUKO NCHINI TOGO KUTAKA RAISI AJIUZULU HARA

WANDAMANAJI WAKIJARIBU KULIGEUZA GARI LA ASKARI HUKO NCHINI TOGO

MOJA WA WANDAMANAJI NCHI TOGO AKITUMIA PANDA YAKE KUWACHAPA POLISI

POLISI KACHANGANYIKIWA KWA UMATI ULIVYO MUIBUKIA HAWAONI WENZAKE

JAMA KAPIGA MOTO NA HUKU YUWATAFUTA POLISI KWA PANGA
Maelfu ya wananchi wa Togo wameandamana wakimpinga Dikteta wa nchi hiyo Faure Gnassingbe. Maandamano hayo makubwa yamefanyika katika mji mkuu Lome yakimtaka Dikteta Gnassingbe aachie ngazi. Waandamanaji hao walisikika wakipiga nara dhidi ya kiongozi huyo na kuituhumu serikali yake kwamba, ilifanya udanganyifu katika uchaguzi uliopita kama alivyo fanya Shein hapa nchini Zanzibar.
Licha ya kuwa kidhahiri uchaguzi wa Dikteta nchini Togo wa tarehe 25 ya mwezi uliopita ulifanyika katika mazingira ya amani na utulivu kama ulivyo fanyika hapa nchini Zanzibar 2010 kwa amani na utulivu, lakini joto la kisiasa lilikuwa limepanda katika nchi hiyo ya Togo ambapo baada ya kutangazwa rasmi matokeo ya uchaguzi huo, hali ya hewa ya kisiasa katika nchi hiyo ya Togo ikazidi kuchafuka kutokana na mrengo wa upinzani kukataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi huo. Si hayo tu, wapinzani wa nchi ya Togo walikwenda mbali zaidi na kuituhumu serikali kwamba, ilifanya udanganyifu katika uchaguzi huo kama serekali ya CCM ilivyo fanya udanganyifu kwa Zanzibar na kwa Wazanzibari na hata kuchakachua matokeo ya uchaguzi ya huko nchini Togo. Licha ya Dikteta Gnassingbe kuapishwa na kuanza rasmi kazi katika duru nyingine ya Urais, lakini wapinzani wameendelea kulalamikia matokeo ya uchaguzi huo. Wapinzani wa Togo wanalalamikia vikali sheria za uchaguzi wa nchi hiyo na wanataka zifanyiwe marekebisho ili kutomruhusu mtu kuongoza zaidi ya duru mbili za Urais nchini Togo kama ilivyo nchi ya Burundi lakini Dikteta NKurunziza akataka kuibadilisha katiba ili atawale zaidi na Waburundi hilo wamelikata.
Wapinzani wa nchi ya Togo wanasema, mfumo wa sasa wa utawala nchini humo ni wa kurithishana na kwamba, chaguzi zinazofanyika nchini humo zinakinzana dhahir shahir na vigezo vya uhuru na demokrasia. Wapinzani wa nchi ya Togo walijitahidi kufanya kampeni kubwa za kuwashajiisha wananchi wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi uliopita kama wanavyi fanya chama cha CUF kushajihisha watu wa nchi ya Zanzibar kuiandiksha na kupiga kura ila haikupi kuwa ndio utashida na kwenda ikulu na huko nchini Togo ndio ulio kuwa mpago maalum ili waweze kuuondoa madarakani utawala wa Dikteta Gnassingbe. Hata hivyo ushiriki wa wananchi katika uchaguzi huo ulikuwa mdogo mno ambao unakadiriwa kufikia nusu tu ya watu walitimiza masharti ya kupiga kura. Weledi wa mambo wanaamini kwamba, ushiriki mdogo wa wananchi katika uchaguzi huo unatokana na kukata tamaa wananchi ya kutokea mabadiliko ya utawala kupitia njia hiyo ya uchaguzi. Familia ya Gnassingbe imekuwa madarakani nchini Togo kwa karibu miongo mitano na Faure Gnassingbe ni mtu wa hivi karibuni kabisa kutoka katika familia hiyo ambaye anashika hatamu za kuiongoza nchi hiyo kutokana na kushinda katika uchaguzi mara tatu mtawalia. 
Wapinzani wa Togo wanaamini kwamba, katika vituo 16 kati ya 42 vya uchaguzi kulifanyika udanganyifu wakati wa uchaguzi huo kwani idadi ya kura ilikuwa kubwa kuliko idadi ya wakazi wa maeneo hayo. Licha ya wapinzani kuendelea kupiga ngoma ya malalmiko, lakini Mwenyekiti wa Mahakama ya Katiba nchini Togo alisema katika sherehe za kuapishwa Dikiteta Faure Gnassingbe kwamba, wananchi wa nchi hiyo wameridhishwa na siasa za kiongozi huyo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Umoja wa Mataifa nao kwa upande wake umeutaja uchaguzi wa Togo kwamba, ulikuwa huru, wa wazi upuzi mtupu na wenye itibari. Hii ni katika hali ambayo, kabla hata ya kufanyika uchaguzi huo, wachambuzi wa mambo walikuwa wakizungumzia uwezekano wa kufanyika wizi na udanganyifu katika uchaguzi huo na kumrejesha tena madarakani Dikteta Faure Gnassingbe. Hivi sasa inaonekana kuwa, anga ya kisiasa nchini Togo imechafuka na wapinzani wameanza kushadidisha malalamiko yao. Katika mazingira kama haya himaya ya jeshi kwa Dikteta Faure Gnassingbe wa sasa wa nchi hiyo huku kukiweko na kumbukumbu chungu ya kuuawa wapinzani miaka ya nyuma, kumeufanya usalama wa wananchi wa nchi hiyo inayokabwa koo na matatizo ya kiuchumi na ukosefu wa ajira kukabiliwa na hatari zaidi.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment