MWIGULU NCHEMBA AMPAKA GAGA NA KAMASI MTANGANYIKA MWENZAKE
KWA KUCHUKIZWA NA T,SHIRT YENYE BENDERA YA NCHI YA TANGANYIKA
KISHA SASA ATAKUGOMBEA URAISI KWA TICKETI YA CCM KUWA
RAISI WA NCHI HIYO HIYO YA TANGANYIKA ALIYO IPAKA GAGA NA KAMASI
ALIPO KWENDA KUOMBEWA KANISANI ILI CCM IMCHANGUWE YEYE KUWA RAISI WA NCHI YA TANGANYIKA HAHAHAHAHAHAHAHAHA VICHEKESHO
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba wa nchi ya Tanganyika
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Nchini Tanganyika,Mwigulu Nchemba amejiuzulu wadhifa huo.
Mwigulu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha,ametangaza kujiuzulu nafasu hiyo jana Jioni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya ya Taifa ya CCM, Huko Giningi Mjini Dodoma machinjio ya Wazanzibari.
Akithibiths tukio hilo,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Naoe Nnauye amesema,Mwigulu ameamua kujiuzulu nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa CCM-nchini Tanganyika kutokana na nia yake ya kutaka kuomba kuwania Urais wa nchi ya Tanganyika kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi utakaofanyika Octoba Mwaka huu
"Mwigulu alishamwambia nia hiyo Mwenyekiti wa Chama Rais wetu wa nchi yetu ya Tanganyika Jakaya Kikwete,nae Rais akamkubalia, na sasa katika kikao ameomba rasmi kujiuzulu na Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete amemkubalia Mbele ya wajumbe wa NEC".amesema Nape
Nape amesema kufuatia uamuzi wa mwigulu kujiuzulu, Mwenyekiti wa Chama Rais Jakaya Kikwete amemteua Msaidizi wake wa maswala ya siasa,Rajabu Ruhavi kuwa Mjumbe wa NEC na Wakati huohuo kamteua kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Kushika nafasi iliyoachwa na Mwigulu Nchemba
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO
No comments:
Post a Comment