Saturday, May 16, 2015

WANAJESHI NA POLISI WA BURUNDI NYINYI NI PUNDA WA DIKTETA NKURUNZIZA AU WALINZI WA NCHI NA RAI WA BURUNDI....?????


Rais Pierre Nkurunziza ni Dikteta alieshindwa na kulazimisha watu wampende
Wapo viongozi watano barani Afrika, mashariki na magharibi mwa bara hilo wasiotaka kuondoka madarakani kwa hiari zao.Na Dikteta Nkurunziza wa Burundi ni miongoni mwa Madikteta hao.
Mpaka sasa bado hajaweza kuzisoma alama za nyakati. Na licha ya kufanikiwa kutwitte na kuwambia mafisa wake wa ikulu wasema kama yeye asharudi nchini Burundi baada ya jaribio la wanajeshi la kutaka kumwondoa madarakani, yeye bado hajawa mshindi na ataendelea kutambulika kuwa ni Dikteta wa nchi hiyo.
BURUNDI JOURNALISTS PROTEST GOV'T CRACKDOWN; 
Dikteta Nukurunziza amewatishia wanasheria,wanasiasa na waandishi wa habari. Polisi wake wamewapiga risasi raia na kuwauwa rai wasio na hati mpaka sasa watu 20 wameuwawa na jeshi lake la polisi na amesha anza kukamata watu wote walio fanya maandamo. Baada ya miaka 10 ya kuchukua hatua za busara katika kurejesha utulivu nchini, Dikteta Nkurunziza amechepuka na kuicha njia ya maridhiano,ujenzi mpya wa nchi na kujenga demokrasia.
 Dikteta Nkurunziza ameirudisha Burundi katika enzi za kijeshi. Amelijenga jeshi la vijana linalowatishia watu nchini, kwa niaba yake ili aweze kuhakikisha kwamba anachaguliwa tena. 
WANAWAKE WA KIRUNDI WASIO MTAKA DIKTETA NKURUNZIZA WAKICHEZA MBELE YA VIJIBWA VYA DIKTETA NKURUNZIZA NA FOMU ZAO ZA BULU
Vijana hao wanawatisha siyo tu washindani wa kisiasa bali pia wanavunja miiko: kwa kuwashutumu atii Watutsi kwa kula njama. Mvutano wa kikabila unaweza kuwa hatari kubwa sana kwa Burundi lakini hii ndio tabia ya Madikteta wakitaka kubaki madarakani basi hutumia guvu au kuwagawa wananchi kwa Makabila au Dini. Muhimu sasa watu waburundi wasikubali kugawiwa Kimakabila wala Kidini na wanedele kushikamana kuwa Dikteta Nkurunziza aheshimu katiba ya nchi na huu ni muhula wake wa mwisho achiye madaraka.
MOJA KATIKA WANDAMANAJI WA NCHI YA BURUNDI AKIBEBWA NA WENZAKE BAADA YA KUPINGWA RISASI NA POLISI WA DIKTETA NKURUNZIZA HII NDIO DEMOKRATI YA DIKTETA NKURUNZIZA KUUWA RAI WEMA WANAO FATA KATIBA.
Njama hizo zinakumbusha yale yaliyotokea kati ya mwaka wa 1993 na 2000.Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hakuna njia nyingine nchini Burundi ila ile ya kusonga mbele na harakati za kuitekeleza katiba na kama hakuta basi kwa nini akanzisha katika au Dikteta Nkurunziza alidhina miaka kumi ni mingi sana haita kwisha.....? Dikteta Nkurunziza anaweza kuleta mabadiliko makubwa nchini Burundi ikiwa ataachana na mpango wa kuwania muhula wa tatu wa urais na atahishimika sana na ulimwengu mzima pia hilo jeshi na polisi wasiwe wapumbavu.

Jeshi na Polisi Kutumiliwa kama majibwa koko kazi yao ni kulinda rai sio kuuwa rai Dikteta Nkurunziza ikiwa hataki kuheshimu Katiba basi jeshi na Polisi muwe wa kwanza kumuambia heee heshimu katiba kama huheshimu unataka kutuchafulia nchi na umwagaji damu basi sisi sote hatuko pamoja na wewe.Lakini hivyo sivyo ilivyo kwa wanajeshi wengi na polisi wa nchi za afrika siku zote wao ni punda wa raisi hata kama raisi anavunja sheria na kumrisha kuuwa wananchi wao wanatekeleza wamakuwa kama maroboti wapumbavu wakubwa majeshi na polisi.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment