MVUA NCHINI ZANZIBAR YAZUWA TAFRANI
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO NCHINI ZANZIBAR BAADA YA MVUA KUNYESHA
WAKIJARIBU KUFUKIA ILI KUNUSURU NYUMBA ISIANGUKE NCHINI ZANZIBAR
HALI NDIO KAMA UIONAVYO MAJI MPAKA MADIRISHANI
MOJA KATI YA WENGI WA KINA MAMA WALIO ATHIRIKA NA MVUA NCHINI ZANZIBAR
SEHEMU MBALI MBALI NCHINI ZANZIBAR ZILIZO ATHARIKA NA MVUA
HII NI MOJA KATIKA NYUMBA ZILIZO ATHIRIKA NA MVUA NCHINI ZANZIBAR
BAADHI YA MAJIRINI NA WAPITA NJIA WAKISHUHUDIA SHIMO LILILO CHIMBIKA KUTOKANA NA MVUA
WATU WAKIZIDI KUMIMINIKA KUSHUHUDIA SHIMO HILO LILILOSABABISHWA NA MVUA
SHIMO LILIVYO KUBWA MPAKA LIZIBA NJIA NA KUONGEZEKA NA SHIMO LA CHOO LA BAADHI YA NYUMBA HIZI KAMA UNAVYO UNA KWENYE PIC
KARIAKOO KATIKA VIWANJA VYA WATOTO PIA NI MOJA KATIKA VILIVYO ATHIRIKA NA MVUA
MVUA ILIONYESHA KWA MASAA SITA MFULULIZO IMEIGEUZA KARIAKOO BWAWA
KARIAKOO VIWANJA VYA WATOTO KUFURAHI MAJI YA MVUA YAMEJA
MWANA DADA KATIKATI YA MAJI YA MVUA
maeneo ambayo yameathirika ni 17 ikiwemo Magomeni, Jangombe, Nyerere, Sebleni Sogea, Mwanakwerekwe, Welezo, Kisauni, Tomondo, Mombasa, Kinuni, Mtopepo, Chumbani, Kwahani, Mpendae, Bububu na Kwahani sasa ndio tuliyo jaliwa kupata habari zao.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment