Thursday, May 14, 2015

JENERALI GODEFROID NIYOMBARE ASEMA KUWAMBIYA WANAOSEMA MAPINDUZI YAMEFELI BASI WAMWAMBIYE NKURUNZINZA ARUDI NCHINI


JENERALI GODEFROID NIYOMBARE AKIWASILI KWENYE KITUO CHA RADIO MEI 13 JIONI MWANAJESHI ANAYE PENDA NCHI YAKE NA RAI WAKE SIO DIKTETA NKURUNZIZA MROHO WA MADARA TUNAOMBA NCHI IKITULIA NKURUNZIZA ASHTAKIWE KWA KUWAUWA WANDAMANAJI.

Makundi hasimu ya wanajeshi yanakabiliana katikati  ya mji mkuu wa Burundi- Bunjumbura, mahala ambapo tangazo lilitolewa jana Jumatano kuwa Dikteta Pierre Nkurunziza, amepinduliwa.
Makabiliano ya risasi yanaendelea kwa sasa, huku milipuko kadhaa ikisikika.
Redio na runinga ya taifa inang'ang'aniwa kwa sasa huku wanajeshi waaminifu wa  Dikteta Nkurunziza inasemekana bado ndio wanaoidhibiti kwa sasa ila watazuia kwa mdaa ngani....?

Kwa  mujibu  wa  taarifa  ya muandishi wetu wa habari mchana huu, Dikteta   Nkurunzinza ametoa  tamko  fupi  kupitia  ukurasa  wa  twitter  wa  rais  akiwataka atii  wananchi  wa  Burundi  kuwa  watulivu ashaulisha watu sasa anataka watuliye.

Taarifa ya Muandishi wetu  pia  imearifu  kuwa Mkuu wa majeshi nchini Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo  ametangaza  kuwa  jaribio  hilo  limefeli.

Hata  hivyo,Mkuu wa zamani wa idara ya upelelezi ya Burundi Meja Jenerali Godefroid Niyombare  ambaye  ndiye  aliyeongoza  mapinduzi  hayo  amesema  kuwa  hizo  ni  propaganda  tu  za  baadhi  ya  wanajeshi  watiifu  kwa rais  Nkurunzinza.

Jenerali Godefroid Niyombare  amesema  kuwa  kama  ni  kweli  mapinduzi  yamefeli, basi Muache rais  Nkurunzinza  arudi  nchini  leo,asiporudi leo  basi  hakuna  haja  ya  kubishana  juu ya  uwepo  wa  mapinduzi  hayo.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment