Monday, May 11, 2015

WANANCH WA BURUNDI MUSIKUBALI KUZIMA MANDAMANO MPAKA DEKTETA PIERRE NKURUNZIZA AJIUZULU VYEO VYAKE VYOTE ACHIYE MADARAKA WATU 18 WASHAKUFA KISHA YEYE ABAKI HAKUNA.





Serikali ya Burundi imewataka  waandamanaji katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa taifa hilo Dekteta Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu katika uchaguzi wa mwezi ujao kinyume na katiba inavo sema ya nchi hiyo.
 Serikali  imewapatia waandamanaji hao saa 48 kuondoa vizuizi walivyoweka katika barabara za mji huo,lakini hata hivyo inadaiwa maandamano yataendelea leo  siku ya jumapili.
Wanasiasa  wanasema kuwa Dekteta Nkurunziza anakiuka katiba kwa kuwania muhula wa tatu,lakini mapema wiki hii mahakama ya kikatiba nchini Burundi iliamua kuwa rais Nkurunziza ana haki ya kuwania muhula wa tatu maana mahakama pia inakula bure na raisi ndio anaewalisha sasa lazima wasema abaki.
 Hadi sasa takriban watu 18 wameuawa tangu maandamano hayo yaanze wiki mbili zilizopita na ni haki yao kuandamana maana nchi ni yawananchi sio ya polisi wala jeshi wala Dekteta Pierre Nkurunziza.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment