SWALI DOGO TU KAMA MAJI HAYA NA MABOMU YANGELIPINGWA KATIKA KANISA AU BAA INGELIKUWAJE..? ULIMWENGU MZIMA UNGELIJUW LAKINI YAMEMWANGWA KATIKA MSIKITI HAKUNA HATA ALIYE SEMA KWII NA NCHI INA MARAISI WATATU NA WOTE WAISLAMU ILA IMEBANA KIMYA KAMA MAJIBWA KOKO
HUNA LOLOTE ZAIDI YA UNAFIKI UNAFIKIRI KAZU KUBWA NA KOTI NDIO UMINI UNAWADANGANYA HAO HAO MAWAZIRI WENZAKO NA MARAISI WENZAKO ILA MWENYEZI M/MUNGU WEWE ANAKUPURURIA TU IKO SIKU YAKO.
HIVI UNAJIFANYA KAMA HUJUWI KAMA WATU MSIKITI WA MBUYUNI WAMEPINGWA MABOMU NA MAJI YA KUWASHA YANAMWANGWA NDANI YA MSIKITI NA NJE YA MSIKITI..? KAMA WEWE RAISI KWELI WAFUKUZE KAZI POLISI WOTE WALIO UNAJISI MSIKITI NA KAMA UNAENDELE NA UNAFIKI WAKO KUWARIDHISHA MABWANA ZAKO NA WAFALME WAKO TANGANYIKA SAWA MZEE KARUME ALIKUWEPO NA UJABARI WAKE LEO YUKO WAPI..?HITLER ALAKUWEPO NA UJABARI WAKE LEO YUKO WAPI..? FIRAUNI,GADDAFI,MUBARAK,NA WENGINE WENGI TU WEWE KISHEINI MUONGOGE M/MUNGU
No comments:
Post a Comment