HONGERA SANA HAMAD KWA KUJIUZULU UMEONYESHA KUWA KWELI HUKO KATIKA MADARA KWA AJILI YA TUMBO BALI UKO KATIKA MADARA ILI KUJENGA NCHI NA KUSAIDI WANANCHI NA KUTOKANA NAKUTOKUFANIKISHA LENGO UMEONA BORA UJIUZULU ILI AJE MWENGENE ATAKAE WEZA KUKAMILISHA
SASA TUONE SHAMHUN,BALOZI IDDI,MOHAMMED ABOUD NA WENGINE WALIO UZO PIA KAMA NAO PIA WATAJIUZULU KWA FAIDA YA NCHI AU NDIO MATUMBO YAO HAWAYAWEZI WATAENDELE KUBAKI NA KUKUSANYA PESA ZA RAMBE RAMBE ILI WAKIENDESHE CHAMA CHA CCM NA PESA ZA WATU WANAO KUFA KATIKA AJALI ZA MELI
No comments:
Post a Comment