MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Thursday, July 19, 2012
MELI YAUWA WATU TENA NCHINI ZANZIBAR SEREKALI IKO WAPI AU INAFURAHIA RAI WAKE KUFA KWA MAMELI HAYA MABOVU..?
MOJA KATIKA ABIRI AKISAIDIWA NA NASI NA DOKTA
MADOKTA AKIJARIBU KUWAHUDUMIA WALIO OKOLEWA
WATU WALI OKOLEWA
WALIOSALIMIKA KATIKA KUZAMA KWA MELI WAKIPEWA BISKUTI NA MAJI
DOKTA AKIWAULIZA MASUALI MAWILI MATATU WALIOSALIMIKA
MABLAGETI YAKITOLEWA KWA WALE WALIO OKOLEWA KUWASAIDIA NABARIDI NA MENGINE KUFINIKIA MAITI
WAZUNGU WALIO OKOLEWA
UWOKOZI UKIENDELE ANGALIA MKONO WA KUSHOTE KUNA HUYU ASKARI MAGEREZA NA NYOTA ZAKE TATU HANA MOJA ANALOLIFANYA SASA KAJA KUFANYA NINI HAPA ASIYEKWENDA KUSHUGHULIKIA MAHABUSU.
MAITI IKIWASILI BANDARINI BAADA YA KUOKOLEWA
MAITI ZIKIZIDI KUWASILI
MAITI ZIKIENDELEA KUWASILI
HII NI MARA YA PILI SASA KWA MWAKA MOJA MELI KUZAMA NA KUWA WATU NA SEREKALI HAIJAFANYA MABADILIKO YA AINA YOYOTE JE NIKWAKUWA FAMILIA ZAO HAZISAFIRI NA USAFIRI HUU WA WAKIMASIKINI NDIO MAANA HAWAJALI..? AU NDIO HAWANA HURUMA AU NDIO SEREKALI HILI LA MAPINDUZI LISHAZOWEA KUWA BASI NDIO HALIJALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment