MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Sunday, July 22, 2012
SEREKALI YA SHEIN NA JESHI LAKE LA KIKURIA NI HARAMU KUSWALI NA KUWAOMBEA DUWA MAITI
masheikh walipokuwa wakiwaombea duwa watu walio fikwa na ajali ya kuzama kwa meli
waumini wakishirikiana na masheikh kuwaombea duwa waliofikwa na msiba wa kuzama meli hapa nchini zanzibar hizi ni picha kabla ya waumini hawa kupingwa mabomu na maji ya muwasho na jeshi la shein la kikuria kutoka tanganyika
jeshi la raisi sheini la kikuria likiwapinga mabumu waumini wa kislamu katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani kisa ati wanawaombea duwa watu na maiti walio zama katika meli
serekali hii ya madhalim ina magari ya muasho wa maji na mabomu ya kupinga rai wema serekali hii hii inajenga jela mpya ya kuwajaza waumini wa kislamu wasio na hati kisha wanasema ati serekali ilikuwa haina mafuta ya kutia kwenye boti za kwenda kuokowa watu walipokuwa wakizama na meli serekali hii ni ya madhalim na wahuni wote kuanzia raisi shein na makamo wake wote na mpaka masheha wote ni wahuni majagili magaidi dumila kuwali wanao taka kuwamaliza wazanzibari wanyonge ila na ramadhani m/mungu tawaonyesha nyinyi vibaaka na vibaraka wakubwa wawatanganyika.
mji mzima wa zanzibar ulikuwa ukinuka moshi wa mabomu ya machozi na gasi yaliyorushwa na jeshi la raisi shein lakutoka tanganyika linalomlinda ili aishi kwa raha ikulu na kuendele kuwanyanyasa rai wasio na hati watu wengi walithani shein atakuwa raisi wa demokrasi ila mimi sikutaka kusema kwanza maana najuwa maraisi wa kiafrika wakitaka lao huwa wema mpaka wakakusujudia haswa ila wakishapata ndio hutowa makucha haya sasa waumini wanawaombea duwa dungu na jamaa polisi wanakwenda kuwapinga mabomu na maji ya muasho nini..? na msikiti kunajisiwa na wakuria mimi siwalaumi wakuria namlaumu huyu shein maana yeye anajuwa kila linalo tokea ila kabana kimya ikulu tamu weee ila mulize mzee karume kaika ikulu na sasa kalala kwenye changa pale kisiwa nduwi CCM je wewe ushafikiria hilo shein..?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment