maiti za watoto zilizopatikana
wakina mama na baba wakisubiri kuona maiti
watu maisara wakisubiri kuona maiti zao
wanawake wakilia baada ya kupata habari ya jamaa zao walio kufa kwa kuzama kwa meli
wazungu pia wanakuja kuangalia jamaa zao walio zama
dungu na jamaa wakiendele kusubiri maiti zao
moja moja akikaguwa maiti
wandishi wa habari wakimuhoji waziri ashaa bakari
sheikh azzan akihojiwa na wandishi wa habari kuhusu ajali hii ya meli
wakina mama wakipeyana pole na huku wakisubiri maiti zao
manasi wa nchi yetu ya zanzibar wakijitahidi kuokowa maisha ya watu na kupanga maiti za jamaa zetu waliotutoka m/mungu awalaze mahali pema
wakina mama wakiwa kwenye mstari wa kwenda kuona maiti zao maisara
wazungu wakiwa kwenye mstari kuangalia maiti zao maisara
No comments:
Post a Comment