MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Thursday, July 19, 2012
PICHA ZA MAAFA YAKUZAMA MELI NCHINI ZANZIBAR KWA MARA NYENGINE TENA HATA MWAKA HAUJAKWISHA
DAIVA AKIJARIBU KUTAFUTA WALIO ZAMA
MZUNGU AKIOKOLEWA
BAADHI YA ABIRIA WAKISUBIRI UWOKOZI
BOTI NA HELEKOPTA
BOTI IKIOKOWA WATU
WATU WALIOSALIMIKA WAMEIKALIA BOTI AMBAYO IMEZAMA WAKISUBIRI KUOKOLEWA
MUHISANI MVUVI AKIOKOWA WATU BOTI ZA SEREKALI ZIKO WAPI..?
MVIVU AKIENDELEA KUOKOWA WATU
CHINI YA BAHARI YA MELI HII DUNGU ZETU WAMO NDANI NA ROHO ZAO ZIMEKATIKA NA HAWA DUNGU ZETU WENGINE WAMEIKALIA JUU MELI HII AMBAYO NUSU IWATOWE ROHO WAKISBIRI REHMA ZA MUNGU MAANA KAMA NI SEREKALI HATUNA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment