MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Tuesday, July 30, 2013
BANDARI YA MALINDI YA BOTI DONGO ZA SAMAKI AINA YA VIBUWA KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI
Wafanyabiashara wa Uchuuzi wa samaki aina ya Vibuwa hapa nchini Zanzibar wakiwa katika bandari ya malindi wakipanga samaki hao kwa ajili ya wateja wao, katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani samaki hutumika sana katika futari na daku, msimu ukiwa umeanza katika bandari hii ndoo moja ya kibua iliuzwa kwa shilingi 75000/= katika bandari hii.VIMETULEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment