MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Saturday, July 13, 2013
JE NI CHAMA KIPI KINACHO TAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI (CCM,CUF,CHADEMA.)
CCM INAFUNDISHA MPAKA WATOTO WADOGO USHIKAJI WA SILAHA NA HAYA HAWATAKI WATU WAYAJUWE LAKINI SISI TUNAJUWA SANA NA NDIO WANAO WATUMIYA SIKU ZA UCHANGUZI KUUWA WATU, KUTESA WATU, KUWAIBIA WATU, KUTIA VINYESI NDANI YA VISIMA VYA MAJI SAFI,KUTIA MOTO MAKANISA ZANZIBAR KISHA WANAWASINGIZIA UAMSHO,KUVUNJA BAR ZA WATU NA KUIBA NA KUNYWA POMBE ZILIZO NDANI YA BAR HIZO, N.K. HAWA NDIO JANJAWILI WADOGO WA CCM WANAPIKWA CHUKI NA UBAGUZI WAKIWA WADOGO KABISA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment