Thursday, July 11, 2013

DR KUMBI SHEIN ASEMA KAMATI YA MARIDHIANO SITAMBUWI.RAMADHANI YOTE HII MASHEIKH BADO WAKO JELA HELO PIA HULITAMBUWI SHEIN.???


KUITAMBUWA UNAITAMBUWA ILA UNATUNZA KITUMBUWA CHAKO KISIKUTOKE. UKITAMBUWA USITAMBUWE HAIPUNGUZI WALA HAIZIDISHI HAWA WANATAMBULIWA NA WAZANZIBARI NA M.MUNGU INATOSHA.WEWE SHEIN UNATAMBULIWA NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA KWA MSAADA WAKO MKUBWA WA KUTAKA NCHI YA ZANZIBAR IMEZWA NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA NA KUIFANYA NCHI YETU YA ZANZIBAR KUWA MKOA WA PWANI.  SHEIN ASEMA HAWEZI KUWASALITI KIKWETE NA PINDA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMATI YA MARIDHIANO KULETA MUUNGANO WA MKATABA SWALI NDIO UMEAMUWA KUWASALITI WAZANZIBARI NA NCHI YAO NA KUWAFUNGA MASHEIKH WA UAMSHO ILI UWAFURAHISHE KIKWETE NA PINDA..? SOTE TUNAJUWA KUWA WEWE HUKUSHINDA KATIKA UCHANGUZI ILA UMEWEKWA NA KIKWETE NA PINDA WAKOLONI WEUSI ILI UHAKIKISHE KUWA ZANZIBAR INA MEZWA ILA KAA UKIJUWA KUWA ALIKUWEPO MRENO HAPA AKASHINDWA,MUENGEREZA KASHINDWA,NYERERE NA KUNDI LAKE NA WANAWE NDIO HAO KINA MKAPA,PINDA KIKWETE,SITTA,VUAI ALI VUAI,BORAFYA,SAMIA,SHAMHUNA,NAHODHA,N.K. NAO PIA WAMESHINDWA KUTAKA ZANZIBAR IMEZWE NA WATANGANYIKA WAKOLONI WEUSI UTAWEZA WEWE KISHENI..? SHEIN NA KILA ULIYE SHIRIKIANA NAE KUHAKIKISHA MASHEIKH WA UAMSHO WAFUNGWE JELA MUJI ANDAYE NA ATHABU KALI HAPA DUNIANI,KATIKA MAKABURI SIKU MUKIFA NA SIKU YA KIYAMA MOTO MKALI KABISA KWA KUWATHULUMU MASHEIKH WA UAMSHO NA KUWAZUWIYA WASISEME UKWELI NA KUWAELIMISHA WAZANZIBAR KUJUWA HAKI YAO IKO WAPI HASWA HASWA KUWA HUU NI MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI WAO WAKO JELA NA DARSA ZAO ZIMESIMAMA HILI NI JUKUMU SHEIN UMEBEBE KWA UTAMU WA MADARAKA .

No comments:

Post a Comment