CHAMA CHA WANANCHI CUF KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHAMA WAKE WOTE PAMOJA NA WAZANZIBARI WAPENDA MAMLAKA KAMILI YA NCHI YAO KUWA KITAFANYA TENA MKUTANO MKUBWA WA AINA YAKE HUKO KISIWANI PEMBA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 6/7/2013, SAA 3:00 ASUBUHI KATIKA VIWANJA VYA MASOTA MKOA WA KASKAZINI PEMBA.
MGENI RASMI KATIKA MKUTANO HUO ATAKUWA NI KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AMBAE PIA NI MAKAMO WA KWANZA WA RAISI WA ZANZIBAR.
MKUTANO HUO MKUBWA NA WA AINA YAKE UNA LENGO LA KUICHAMBUA HASA RASIMU YA KATIBA MPYA ILI WAZANZIBAR WAWEZE KUIELEWA VYEMA RASIMU HIYO PAMOJA NA KUTOA MSIMAMO WAO JUU YA MUSTKBALI WA NCHI YAO VIPI WANATAKA IWE WAKATI WA UTOAJI MAONI JUU YA RASIMU HIYO KUPITIA MABARAZA YA KATIBA.
SHIME WANANCHI WOTE KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA KWA WINGI SANA BILA YA KUKOSA KATIKA SIKU HII MUHIMU YA KIHISTORIA.
TAFRANI HII TRAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMUCHOKA
TAFRANI HII TRAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMUCHOKA
KWAAA CHAAA KWEUPEEE KWAAA CHAAAA KWEUPEEE KWAAA CHAAA KWEUPEEE
TUACHIWEE TUPUMUWEEE TUACHIWEEE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEE
No comments:
Post a Comment