Thursday, May 26, 2011

ZANZIBAR HATUNA HAJA YA TANESCO NI SISI WENYEWE KUJITEGEMEYA.


kama serekali ya GNU AU SUKARI bado inataka tuendele
kuibiwa wa watang basi sisi rai wenyewe tunaweza kuweka
kama hivi hii ni nyumba ya mtu binafsi.

shangani, michezani,mkunazini,kilimani nyote munaweza kuweka kama hivi na mukawa
na umeme iwacheni serekali iyendele kubebeleza mabwana zao watang na TANESCO.

najuwa siku za mwanzo itakuwa tabu ila tabu hii ni
ya mara moja na ndio lala salama sio ya TANESCO
zima washa zima washa kama tumo ndani ya disco
la komba pale bwawani.

wazenji tuamkeni tusikubali kuwapa wao mamillioni na huku hakuna umeme bora uweke hii juu ya paa lako
mzee unapeta tu kama kawa ndani ya kisiwa chetu.

ona kitu hichi kila kikipingwa na upepo kikizunguka umeme unazaliwa utakuwa
ndani ya nyumba hutaki hata taa zisizimwe maana hakuna sababu ya kuzima.

wazenji oneni kitu kinavyo fanya kazi kidogo ila mzee nyumba mbili mpaka tatu zinaweza
kutumiya umeme huu tutaka tukinyanyaswa na kuhanithiwa na TANESCO mpaka lini..?

wazenji jione eni wenyewe katulia mapurini na anaumeme wa windpower kwanini sisi tusiweze
zenji tuamkeni jamaa tume lala sana znz jamaa bora pesa zako uweke ununuwe hii kuliko TANESCO.

popote mwera,tumbatu,mkwajuni,donge,kizimkazi,umeme mtu.

hatuna haja ya TANESCO znz jamaa mambo haya.

unaona nyumba hata haijakwisha tayari mzee washaipachika solar plat juu ya paa
sasa sisi zenji twasubiri nini tena jamaa m/mungu ametupa akili na macho kuvitumiya.

mwembe tanga,mshelishelini,mtendeni,mchangani,
mlandege mambo hayoo umeme mpaka mutauchukia.

oneni wenzetu huko ulaya haya yote yanawezekana hapa zenji pia ni sisi wenyewe kuamuwa tu kama GNU AU SUKARI hawataki basi sisi kila moja ajinunuliye ajiweke kwake basi wao viongozi waendele na wa TANESCO WA MABWANA ZAO WANAOWAOGOPA.

kuna kila ya aina kama unachanguwa samaki
 wa vibuwa marikiti vile kumbe mzee unatia umeme.

check vitu vidongo ila kwenye nyumba yako mzee umetulia hakuna athaa za TANESCO.

ona hapa jamaa kauweka uwani unazunguka tu ukimpa umeme.

ona alivyo tulia hakuna mawaya kuninginiya wala nini safi kabisa.na umeme ndani kama kawaida.

ona wanavyo mkaguwa wanajuwa ndio mwisho wa matatizo wazenji amkeni jamaa.

kila akiwa juu zaidi na umeme zaidi ndio zenji tutakapo peta zaidi.

kwenye viwaja vya kikwajuni kule sinikama hapa tu tunaweka maguzo karibu na bahari yanapingwa na upepo wazenji wanacheza mpira mpaka usiku manaa taa zinawaka mji mzima taa mtu tuone kama kutakuwa na wezi na majambazi yataona hata haya kuiba maana taa kila mahali hakuna kiza sio.

kama hutaki feni unaweka hii ndio solar plat inapingwa na juwa wewe unawasha
taa kila mahali wala huzimi unaziwasha tu hata kama ni mchana unaziwasha tu
hakuna tena kuwatukana watoto wetu kazime taa wewe hakuna wanasoma
mpaka usiku na vitabu vyao au munasemaje wazenji..?

kubuguthiwa na TANESCO tunataka wenyewe ona mambo haya raha kabisa hulipi kila mwezi
unalipa mara moja tu ukinunuwa ndio lala salama utakufa wanao wanaumeme.

dungu zetu muliokuweko nje hebu tulete eni na sisi huku zenji tuondokewe na mauthia
ya TANESCO tumechoshwa.

kila ikishika kasi ndio umeme unazidi tukiwa nayo hapa zenji tutajitosheleza mpaka tutakuwa
hatuna tena pakuweka umeme ona vitu hivyo sisi tumo tu TANESCO TANESCO TANESCO
MPAKA LINI JAMAAAAAAAAAAAAAAAA.?

MCHEKI JAMAA TU HANA NOMA WALA NAZI
KATULIYA NA SOLAR PLAT ZAKE JUU HALIPI
KITU MWISHO WA MWEZI YEYE ANAPETA TU.

muone jamaa ameona bora awe nao mwenyewe
wabure na sio kama huko kwao unakatwakatwa
kama hapa zenji ila hataki tena kulipa na yuko poa.

hakuna sababu yakuwa mtu asiwe na umeme znz angali hii
picha kunatafauti ngani na DONGE au MKWAJUNI  na watu
wana umeme znz bado tu TANESCO TANESCO MPAKA LINI..?

ONA hapa kilivyo kidongo ila umeme nyumba
nzima na wala haukatwi jamaa znz kweli tuko nyuma.

hata mawe mporomokoni pia wana umeme una juu kwenye nyumba kuna kitu kiupe ndio solar plat ile mzee

nje na internet yake maana umeme anao kama kawa mzee zenji bado tu.

ona kijumba chake kidogo lakini anaumeme.

hata kama unaishi kwenye kontena umeme unao ila zenji hatuishi
kwenye makontena japokuwa ni masikini ila tuna maduka ya makontena
umeme huu hapa hatunahaja ya TANESCO hatuna haja kabisa.

cheki jamaa hana pesa za kununuwa windpower ananzisha yake mwenyewe west africa
huko watu wanahasira ile mbaya sio sisi tu znz ni africa yote viongozi ndio walao rai tufee.

hii ndio solar plat ona hapa hata ukutani unaiweka basi inapingwa na juwa wewe unakula umeme tu.

ona miji ya wenzetu mawindi powa kila mahali na usafi kabisa hakuna waya kuninginiya.

habu sisi wananchi natuamuwe kununuwa hii basi tuondokane na mauthii

waone wenzetu huko kila moja juu ya paa lake na solar plat yake kanyamaza
kimya akitaka anawasha hataki basi hakuna ndeni la TANESCO znz iwe hivi.

cheki hapa bwamdongo anafanya vitu vyake hataki tena usubufu wa umeme.

yako mwenyewe sio TANESCO.

CHEKI JAMAA KIJIJINI KABISA LAKINI SOLAR PLAT NA
WAKO POA TU MZEE ITAKUWA SISI ZNZ.

ONA ktk ya pori kijijini lakini wanakula umeme wao poa kabisa.

ona hapa hii nyumba lakini mwenyewe ana solar plat yake hata habari hana umeme kama mchanga
anapeta tu mwenyewe sisi znz 2011 bado tunabebejekeya watanganyika ndio wakatunyanyasa ati.

unaona juu ya paa unaweka solar plat zako basi zinapingwa na juwa                                                        wewe ndani kwa ndani unaijoi tu hakuna mgao.

hii ndio solar plat au uipenda unaweza kuita watoto pacha kama unguja na pemba ukiwa nazo basi.dungu zetu muliokuwa nje musitulete makanzu na makofia na viatu vya nike na adidas tulete eni mambo kama haya tujikwamuwe na huyu mkoloni mweusi na hii serekali yetu iliyoja wezi wasiotosheka kuiba mpaka wanaingizwa makaburini wao bado tu wanaiba.

1 comment:

  1. Hapa na mie lazima nifunge umeme wa jua,inshallah,kwani nitajipunguzia gharama za kila mwezi bills zisizokuwa na viwango na vya kubahatisha.

    ReplyDelete