Wednesday, May 25, 2011

JE ZANZIBAR SIO NCHI..........?

Loading image ...
JE BADO TU MUTASEMA KAMA ZAZNIBAR SIO NCHI NI MKOA WA PWANI..?

Loading image ...
KAMA SIO NCHI HIZI PESA ZILITOKEYA WAPI..?

Loading image ...
KAMA HUAMINI HUTA AMINI TENA



STAP ZA POST  INCHI YA ZANZIBAR LEO IKO WAPI  ZANZIBAR



ona hapa zanzibar toka enzi na enzi maji yanatoka  znz leo hii 2011 maji hakuna znz nzima..?

ZANZIBAR IN 1960

SISI NI WATU WA MELI TOKA ENZI NA ENZI HAPA ZANZIBAR.1973

Azhar Park Project
HII NDIO FOROTHANI MPYA YA WAZENJI KWENDA KUJIPUMZISHA NA KUSIKILIZA UPEPO MZURI WENYE KUNUKIA MARASHI YA KARAFUU.


Standing from left to right: 1. Abdulla Ali Said Akbary(Malindi), 2. Ali Juma, believed to be Ali Juma Shamuhuna the current (2006) Deputy Chief Minister (Kikwajuni), 3. Mohammed Omar, 4. Murtaza Jaaffar(Malindi), 5. Sherrali Khakhoo, 6. Suweid Siddiq (Vikokotoni), and 7. Mohammed Salim.
Sitting from left to right: 1. Mohammed Hadi Aghaa(Malindi), 2. Said China, 3. Mr. Wesson, 4. Said Homoud(Malindi), 5. Aboud Jumbe, Zanzibar's Second President. At the time a teacher at the school. (Read Zanzibar's history), 6. Abii Seif (Malindi), and 7. Said Ahmed Nasser.

MUONE MZEE ANAVYO FANYA VITU KWA MKONO TU HANA HAJA YA MASHINE

MKONO TU HATUTAKI MASHINE ZANZIBAR
.
nimeweka picha hii ili watu waona kama zanzibar haikuwa na tatizo la umeme
tulikuwa na umeme toka enzi na enzi leo imekuwaje kuwa hatuna umeme tuna
nyanyaswa na umeme wa tanganyika zima washa zima washa utafikiri tumo
ndani ya disco la komba pale bwawani.


angalia hapo chini kwenye barabara ni njia ya train zanzibar na uguzo wa taa za umeme
toka enzi hizo leo ati zanzibar hakuna umeme 2011 sasa ndio tunakwenda mbele au tunarudi nyuma.?

hawa ndio wa zanzibar 1964 baada ya nchi ya zanzibar kupinduliwa mpaka leo 2011 bado tunateseka.

NI nini haswa kilicho wakera watanganyika mpaka kuivamiya znz ni usultani,urabu au uislamu...?

Scholars in 1962 Zanzibar

wapi ulimwenguni utapata beach kama hii kama sio zanzibar tu ndio maana mahasidi ni wengi wanataka
kuifisidi mpaka imalizike

wakiona wanawake wa znz hivi wanawake wengine wanaumiya maana wao wanataka
kuja na vichupi ila wanawake wetu wa znz hawana haja ya vichupi ndicho kinacho
wachoma hao mahasidi
.

zanzibar yetu ila inachafuliwa kwa lazima japo haichafuki

bora pesa yako tu huu ndio usafiri wa kukuleta zanzibar.

jione mwenyewe ndio utajuwa kwa nini watanganyika wamekinganganiya kiwe chao na sisi watuhamishe.

hii ndio zanzibar ila wazanzibar wenyewe hawana raha nayo ukisema kitu ushafungwa jela wageni ndio wenye kula raha zote unazoziona ktk kisiwa hichi cha zanzibar je nikutawaliwa au sikutawali..?

mskiti wa wahindi na majumba ya mawe ya toka enzi na enzi ona bahari inavyokuvutiya

hii ndio zanzibar mpya jamaa vipi tena znz hakuna ngombe wa kuchanga
tuna mikarafu tu sasa mbona munamiminika ...?

mzee karume alijenga majumba haya kwa jili ya watu wa znz kuishi
ktk maisha mazuri.je baada ya mzee karume maraisi wote waliyo fuatia
nini walichofanya kwa wananchi..?zaidi ya kuiba mamillioni kwa mamillioni.

3 comments:

  1. kuwa na pesa si kuwa na chi. pesa, bendera n.k si nchi. nchi ni heshima na kujitawala

    ReplyDelete
  2. zanzibar ni mkoa kama mingine tu. kuonyesha majumba,miti si tishio. mbona hata Kigoma yapo.nchi ni kujitawala kwa uhuru

    ReplyDelete
  3. SAWA MAJUMBA,MITI SIO TISHIO ILA NAKULIZA SWALI MOJA TU KIGOMA KUNA BARAZA LA WAWAKILISHA LA WATU WA KIGOMA PEKE YAO...?

    ReplyDelete