Thursday, June 16, 2011

VIONGOZI WA SMZ JE MUSHAIJENGA NYUMBA HII..? AU BADO MUNAA IBA NA KUJENGA NYUMBA ZA DUNIANI TU.

hii ndio nyumba ya kila mwanadamu na ndio nyumba aliyo ichangu m/mungu kwetu sote na hii ni kuonyesha kuwa allah hajuwi kama wewe ni mweupe au mweusi tajiri wala maskini. sote ni kitu kimoja allah katuumba na katuleta hapa duniani kuwa ni mtihani kwetu ikiwa tutafaulu ndani ya nyumba hii ni raha tupu na kama tukifeli basi ndio wenye kula hasara.rai,polisi,jeshi,sheha,katibu,makamo,muwakilishi,mbunge,raisi.sote hii ndio nyumba yetu jiulize mshara unao kula unatokana na njia ya halali..? nyumba uliyojenga pesa ulizo jengeya nyumba hiyo ni zahalali heka unazomiliki ni za halali hebu jiulize kama sio je ukingia ndani ya nyumba hii utamueleza nini allah kwani wengi walikuwa kama wewe na sasa wako katika nyumba hii turudini nyuma na tuwachane na mambo mabaya ili tuwe  miongoni mwa watu waliyo faulu mtihani huu waha hapa duniani inshaa allah.

No comments:

Post a Comment