Sunday, June 19, 2011

VIONGOZI WA SMZ HAWANA HAJA YA KUHESHIMIWA KAMA WAO HAWAWAESHIMU WAZANZIBAR.


VIONGOZI WA SMZ KARIBUNI MULE KEKI MUSIWAJALI WANANCHI WENU

Z;BAR NCHI MASIKINI WAONE WALIVYO VIMBA KAMA VYUURA WENYE
MIMBA YA MIEZI 12 KISHA WANASEMA ZNZ NCHI MASIKINI


Machinjio ya Zanzibar zidi ya watapia mlo SMZ hufanyika hapa au vikoa vya siri vya Watanganyika wenyewe
Nina juwa wachangiaji wengi watanishangaa kwa mchongo wangu huu, lakini
haya nimawazo yangu binafsi na fikra zangu binafsi. Kila mtu ana mawazo
yake na vision  yake.  ukiangalia hali ya Sasa na viongozi wetu kuwa
wakaidi wa kuto kusikia na  kukubali.na hata hawa wajali wananchi waliyowachanguwa wao kuwa na hivyo vyeo walivyo navyo.sasa kama hawataki kutusikiliza sisi rai tuliyo wachanguwa basi na sisi tunaweza kuwakata kabla ya uchanguzi mpya kama walivyo fanya misri na tunisia na yemen.na hawa viongozi wanafiki kama kina samia na wenzake wote tutakapo jikombowa  nilazima wapate athabu yenye kuumiza.
na ikiwa wata chukuwa nguvu za polisi au jeshi basi tutawashataki ktk U.N. ili ije na kuwahukumu kama wanavyo hukumiwa kina mubarouk,ben ali japo yuko saudi arabia na gaddafi yuko njiani wakimshika leo watamuhukumu na kama kina
alipokuwa raisi na kuwatesa watu rai wake
charles taylor
wakati wake alipokuwa madarakani na kutesa rai wake
Slobodan Milosevic
hapa walipokuwa na madarakani na kutesa rai wao
Radovan Karadzic
Ratko Mladic
wakati wa utawala wake na kuwatesa rai wake
Jonas Savimbi wakati wa utawala wake na kuwatesa rai wake
wakati wa utawala wake na kuwatesa rai wake
hapa aliposhikwa na jeshi la nchi lenye kutaka haki kwa rai wao
wakati wa utawala wake na mke wake kisha wakakimbilia saudi arabia

hakuna haja ya kuogopa samia wala bilal wala mnafiki mwengine yoyote maana sasa dunia iko wazi na kila nchi inataka kuendeleya sasa kama hawa viongozi wetu wa znz bado wanataka kutukandamiza na kutudidimiza sisi tusikubali lazima tuwashe moto kwenye nyayo zao ili wajuwe kama sisi ndio wanye nchi sio raisi wala makamo wala wabunge wala wawakilishi wala polisi wala majeshi ni rai ndio wenye nchi wao ni viongozi tu.

na jambo la kwanza ni hapa hapa znz kwenye hawa viongozi wanafiki ndio paa kuanza maana watanganyika wao wanawatumilia hawa vibaraka sasa ukitaka kusafisha uchafu unasafisha wanyumba yako kwanza kabla ya jirani na ndio jambo la kwanza ni kuwakosesha raha hawa viongozi wa znz kivipi ni madamano na kupinga kila ambacho wao hawakitaki kukileta kwa rai kuamuliwa na sisi wanyewe basi na sisi tunawapinga wao kutuamuliya maana sio wao wanao amuwa ni watanganyika ndio wanao amuwa kisha huwaleteya tu wao wakasaini na kutingisha vichwa kama mazombi.

Ikiwa tutafanya hivi basi Zanzibar itaheshimika na atakaye kaa
madarakani atakuwa na tahathari kubwa ya uongozi wake, haya sio mageni
ulimwenguni hivi sasa mubarouk wa misri na wanawe na mke wake wote wameshatakiwa na wako jela ni mafaniko mazuri kwa watu wa misri na kuna waziri wa misri kashikwa juzi juzi spain anaishi na kasri lake waspain wamemshika na wanataka kumuhukumu kwa nini kwa kuwa wameona watu wa misri ni watu wenye kupingania haki zao na wao wanawasaidia sasa hawa viongozi wa SMZ hawana tena maficho siku  hizi.

zamani viongozi wa afrika wakiba na kuficha ulaya vita vikitokeya wanakimbilia ulaya siku hizi wakikimbiliya huko wanashikwa na kupelekwa mahaka ya deg haag iliyokuweko holland na wanajela yao nzuri ya maraisi,mawaziri.wabunge,na majenerali wote wanajela yao watakwenda kunyia dooni huko ila nilazima ulimwengu uwone kama kweli sisi tuna itaka nchi yetu ya zanzibar kwa sauti moja hakuna cuf wala ccm sote ni wazanzibar tupigane kwa nia moja mpaka tuikombowe.
Hivi sasa Zanzibar inakuja kumalizwa kwa marekebicho mapya ya Mswada wa
katiba ambayo hakuna hata moja lenye heri na nchi yetu ardhi yetu ya
bibi na babu Zanzibar, tunambiwa Rais atachaguwa tume, tume itapewa
uwezo na hakuna mtu au sheria itakayo weza kuitowa makosa au kuilaumu
tume a.) b.) je hiyo demokrati iko wapi hapo kama tume hii watu hawataweza kuitowa makosa au kuilaumu..? baada ya hayo atapelekewa nakala moja Rais wa Zanzibar ambai
kisheria ni Dr Bilali Kharibu ambaye kachaguliwa Dodoma sio shein ni bendera tu au boya linaeleya tu na sisi wazanzibar hatuitambuwi Dodoma maana sie sio watanganyika.
Jee kilicho ingiza suala la mafuta kuwa la Muungano sio hili hili la
Watanganyika kuingiza mambo wanayo yataka wao kwa faida yao..? na nikwanini iwe faida yao na hii sio nchi yao wao wananchi yao tanganyika kubwa jii nchi kama kitugani sijuwi haliwatoshi mpaka watuvamiye sisi na kuwatumiliya viongozi wanafiki kutumaliza hii  ni ujinga wa mwisho kabisa haswa kuwa sasa ni 2011.
na niujenga gani huu wa viongozi wetu kukubali Zanzibar kupangiwa na
kuamuliwa mambo yake na watanganyika na wakaachwa Wazanzibar wenyewe
kuamua hatma ya nchi yao.

Hii ni kukosa viongozi imara na wazalendo wenye uchungu na nchi yao,
hivi sasa kuna ujanja wanao fanyiwa viongozi kwanza huchukuliwa
Wazanzibar wakawatumiliwa kama figa ili kuona tunajimaliza wenyewe kwa wenyewe kwa mfano kumchukuwa Samia Suluhu Tanganyika na kumtumilia au tecknicki
nyengine ni kuwapa ofaa viongozi wa SMZ mfano mpya nikuchukuliwa ktk ziara
za Tanganyika za  njee akina Bilali, duni, Fatma fereji,Sanya na
wengineo.
Hii yote nikuhadaliwa kutokana na kushtuka Watanganyika kuwa Wzanzibar
hawatutaki tena na huenda Muungano ukavunjika kwa hio tuwakange kwa
mafuta yao, yani tuwape viji post vya njee ili waone tunawapenda kumbe
Zanzibar ikiwa Huru kuna zaidi ya hayo tunaweza kufanya wenyewe

haya yote tunaweza kufanya wenye bila ya watanganyika kutupa vitiketi uchwara tena itakuwa na thamani zaidi maana sasa tutajulikana kuwa ni nchi kamili.sio sasa tunajulikana kama tumetawaliwa na tanganyika na wao ni kama vibaraka tu huu wote ni ujinga wa viongozi wetu maana wao hawajuwi kama znz ikiwa nchi haya yatakuwepo na makubwa kuliko haya watasafiri mpaka watakuwa wanasukumiyana nenda wewe nenda wewe maana watachoka mwisho ila hawajuwi maana wamefinikwa na kombe la kitanganyika sasa sisi rai tupingane kiongozi atakae tuunga mkono ndio kiongozi ambaye hayumo ndio mnafiki mwenyewe huyo na wakijaribu kutuwa tu basi wanakwenda den haag wakanye dooni kama hao hapo juu niliyo waweka.

No comments:

Post a Comment