WANANCHI WATAKA MAISHA MAZURI KAMA MUNAYO ISHI NYINYI VIONGOZI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU Waandishi Wetu, Dar na Dodoma MACHO na masikio ya mamilioni ya tanganyika na zanzibar na wadau wa nje, jana yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali. kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa. Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. |
Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, bajeti ya serikali imekuwa ikisomwa siku za Alhamisi ya wiki ya kwanza ya Juni , lakini mwaka huu imebadilika ikielezwa kwamba hiyo ni kutokana na siku hiyo kuangukia siku ya Uhuru wa Uganda. Akizungumza bungeni jana asubuhi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alisema bajeti hiyo itatanguliwa na hotuba ya hali ya uchumi itakayosomwa pia na Waziri Mkulo. Alisema hotuba hiyo itasomwa asubuhi, wakati ile ya bajeti itasomwa jioni. huyu ndiye anne makinda JUMBA LA MAJINAMIZI YASIYO SHIMBA WALA KUWA NA HURUMA NA WANANCHI WAO NI WAO TU NA FAMILIYA ZAO KUJIRUNDIKIA MALI Baadhi ya mawaziri akiwamo Mkulo wameifagilia bajeti hiyo huku Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) likitoa mapendekezo na matumaini yake. CTI: Tunataka bajeti ya uchumi wa viwanda Shirikisho hilo limesema kuwa linaisubiri kwa hamu bajeti hiyo. likitaka iwe ya kukuza uchumi na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji. Kauli ya CTI huku likilalamikia kupanda kwa gharama za uzalishaji. zilizotokana na mgawo wa umeme wa Tanesco. Mkurugenzi Mtendaji wa CTI, Christine Kilindu alisema jana kwamba serikali inapaswa kutoa bajeti ambayo pia itaondoa kodi zinazoumiza uzalishaji mkubwa. Alisema kodi kubwa zisizo za msingi zinachangia kupanda kwa gharama za uzalishaji ambao mwishowe husababisha kupanda kwa gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida. bajeti jengeni kama hizi wananchi wasisumbuke. wacha kuwasubuwa serekali yako inapanga bajeti ya kukuongezeya wewe mshahara na posho badala ya kujenga kama hizi wananchi wakawa na usalama na uhakika wa usafiri wa waachiye waendele na safari yao wacha kuwaghasi. "Tunataka bajeti ambayo itaondoa kodi zinazokwamisha uzalishaji mkubwa na ukuaji uchumi, tunataka bajeti itakayopunguza makali ya maisha kwa mwananchi kwa kumwezesha kupata bidhaa kwa urahisi," alisema Kilindu. WAMBIYE WENZAKO KILINDU KUWA WANANCHI WANATAKA NCHI YAO IWE NA SUPER MARKET KAMA HIZI NA BEI RAHISI ILI KILA MWANANCHI AWEZE KUNUNUWA NA KULA VIZURI KAMA MUNAVYO KULA NYINYI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU KWENYE MAJUMBA MULIYOJENGA KWA KODI ZA JASHO LA WANANCHI SASA WANANCHI PIA WANATAKA KULA NA KULALA PAZURI AU NA NYINYI MUTAKUWA KAMA MUBAROUK,BEN ALI,SALEH,GADDAFI KARIBU KABISA MAANA TUSHACHOKA KUMIZWA NA MAISHA NA NYINYI MUNAVIMBA TU KAMA MAKOBE AU VYURA WENYE MIMBA YA MIEZI TISA. Alisema bajeti hiyo inapaswa pia kuweka mazingira mazuri na yanavyovutia kibiashara ili kuifanya Tanzania kuwa kituo muhimu cha uwekezaji. Alisema kwamba anategemea kuona umeme ukiwekewa mazingira ya kukuza uchumi na uwekezaji nchini, akisema bila kufanya hivyo hakuna kitu kitakachofanyika. "Bila umeme hakuna kitu chochote, serikali inapaswa kuongeza nguvu na msukumo kuona umeme siyo tu unamulika maisha ya watu kwa kutoa mwanga, bali iwe ni nguvu ya kusukuma ukuaji wa uchumi wa nchi." Mawaziri wapigia debe bajeti Katika kujiwekea mazingira mazuri na kuzuia kubanwa na wabunge, baadhi ya mawaziri wamepigia debe bajeti za wizara zao huku Mkulo, akiahidi kuwa malimbikizo ya vyombo vya usalama yatalipwa mwezi huu. Mara kwa mara baadhi ya wabunge wamekuwa wakitishia kukwamisha baadhi ya bajeti za wizara, kutokana na kukosa majibu ya msingi kwa mambo mbalimbali ya msingi. Jana asubuhi baadhi ya mawaziri walipokuwa wakijibu maswali bungeni walisisitiza kuwa mambo mengi waliyokuwa wakiulizwa yamezingatiwa katika bajeti. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Balozi Hamis Kagasheki, akijibu swali kuhusu malipo ya malimbikizo ya posho za polisi ikiwamo za wakati wa uhamisho, alisema wizara yake imeandaa mwongozo wa kisera wa namna ya kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.Alisema katika mwongozo huo ambao tayari ulikubaliwa na Wizara ya Fedha na Uchumi, wizara yake imejipangia utaratibu wa kutatua kero hiyo kuanzia kwenye bajeti ya mwaka huu. Balozi Kagasheki alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Mji Mkongwe (CUF), Mohammed Sanya, ambaye alitaka kujua mkakati huo ukoje kutokana na tatizo hilo kuwa ni la muda mrefu. Baada ya majibu hayo, Waziri Mkulo alisimama na kukuongeza kuwa siyo malimbikizo ya polisi pekee, bali ya vyombo vyote vya usalama na kwamba serikali imejipanga kuhakikisha yanalipwa kabla ya mwezi huu kumalizika. posho za polisi kwa nini wasijengewe nyumba watu kama hawa..? Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe naye alipigia debe bajeti ya wizara yake ambayo tayari ilisifiwa na Kamati ya Bunge ya Miundombinu, kutokana na kugusa kila eneo huku ikitajwa kuandaliwa kwa weledi wa hali ya juu. Akijibu maswali likiwamo lililohusu ujenzi wa Barabara ya Babati, Dareda hadi Minjingu na kuhusu kero za barabara katika Jimbo la Ludewa linaloongozwa na Profesa Raphael Mwalyosi, Naibu Waziri huyo alisisitiza kuwa wizara yake ni sikivu na mambo mengi yatazingatiwa ndani ya bajeti. bajeti upelekwe sehemu kama hizi wacheni wizi wenu bungeni Alisema wizara iko makini na Bajeti ya Ujenzi imezingatia mambo mengi ya msingi huku akitupa kete ya kuomba uungwaji mkono kwa wabunge ili waipitishe. huyu ndiye raisi ona anawapa piremende waoze mano badala ya kuichukuwa hiyo bajeti na kuwajengeya nyumba za kuishi na maji umeme na chaku elimu hospitali nakathalika yeye gari kubwa na peremende. IKULU MAJI BAFUNI YANAMWAGIKA TU SHIDA ZA MAJI UTAZIJUWAJE..? hospitali watu mpaka chini wanalala kweli watapona au watazidi maradhi..? hii ni nyumba ya mtu na ona raisi wao wa tanganyika gari alilopakiwa pale juu wananchi wamechoshwa na udikteta wenu wanaona bora bendera ya E.U. kuliko bendera ya nchi yetu maana wanajuwa ni bendera ya viongozi tu waliyo madarakani na watakao stafu lakini mwananchi hana lake nateseke mpaka afe viongozi wanakula raha tu kwa nini musiwajenge wananchi nyumba kama hizi..? familiya mbili zinaishi hapa na wao wakaishi vizuri kama munavyo ishi nyinyi. viongozi matapel, majizi, walaghai, wauwaji, wanyanyasaji, waroho musiojuwa kukinai, wafujaji mali za umma,majangili musio na huruma na rai wenu, waongo na wanafiki wakubwa viongozi wote wa tanganyika na zanzibar yake pia nyote nyote kuanzia raisi mpaka sheha,jeshi mpaka mgambo. MTAJI WA MASIKINI NI....? |
HAWA NDIO WATU WANAO HITAJI BAJETI IWAFIKIYE ILA TUTAONA KAMA ITAWAFIKIYA MAANA MAWAZIRI HAWAKUSEMA TUWAJENGE MASIKINI AU TUHAKIKISHE MAJI NA UMEME WALILO SEMA NI KUWEKA BARA BARA MAANA WAO NDIO WENYE MAGARI MAZURI HAWATAKI YAHARIBIKE NA KUWALIPA POLISI MAANA NDIO WANAO WALINDA NA MALI ZAO UKIRITIBWA MTUPU.
No comments:
Post a Comment