Wednesday, June 15, 2011

TRA NDIO UKIMWI WA WANANCHI WA ZANZIBAR DAWA KUFUKUZA Z;BAR AU TUENDELE KUMWA NA KUFA



Ikiwa uchumi wa Z'bar na Pesa za Kigeni zinasimamiwa na TRA/-HIV-AIDS
jee mafuta yatasimamiwa na nani?
"Tusahau maendeleo Wz'bar kama kipatikanacho chote huishia TRA/HIV-AIDS Mfumo wa Muungano FEKI  tulionao ni mkubwa kumla mdogo kiuchumi na kimaendeleo, ikiwa Wazanzibar hatuto kataa uchumi wa Zanzibar kusimamiwa na TRA/HIV-AIDS na kuvunja muungano huu feki  basi Wzanzibar wa lio wengi tutazidi kuzofika Zanzibar na wananchi kuwa na maisha magumu yasio kwisha na hivi sasa tunayaona yalivyo magumu basi yatazidi kuwa magumu.
Hivi sasa uchumi wa forodha wote unasimamiwa na TRA/HIV-AIDS na Wzanzibar huambukia %5.4 ktk bajeti ya Muungano feki  ambayo inakusanya mapoto yake wanayo gaiwa kutoka Bara jee ikiwa tutasimamia wenyewe tutapata % ngapi?
Ukilinganisha mishahara mikubwa wanayolipwa watumishi Bara na ukiangalia taxi tunayo lipa Wzanzibar haingii akilini kuwa TRA/HIV-AIDS isimamie uchumi wa Zanzibar hii ni uonevu na ukoloni mambo leo.huyu mkoloni mweusi katumeza kisawa sawa.katika kila pembe na kila kono wanatunyonyo na kutumaliza wazanzibar.Hivi sasa Bandari na Air-port ya Zanzibar inaingiza pato kubwa lakini lote huishia ktk mikono ya TRA/HIV-AIDS na kuwanufaisha Watanganyika na sio Wazanzibar.

No comments:

Post a Comment