Tuesday, May 31, 2011

KIKWETE NA SHEIN WANATAKA KUUPITISHA MSWADA WA KATIBA MPYA-MAFUTA ILI WAIMEZE ZANZIBAR

tukiwachia wabara waichukuwa nchi yetu ya znz na kuitumiliya kama kipato chao sawa na sisi hatuna kazi wala bazi mpaka vijana wote wamevamiya unga na bangi kwa hali ngumu ya maisha.
kitu hicho kinasubiri mafuta. je nani asiyetaka nchi yake kuwa na maisha mazuri..?
ona meli za kuja kununuwa mafuta hizo hapo znz ikiwa hatuto kubali mswada na muungano feki haya ndio
tutakayo yakabili siku za mbele tukiwa na mafuta zanzibar laa tukikubali mswada na muungano tutaishia kuona tu haya ila pesa hatutazishuhudia jiulize T.R.A. wanakusanya kodi za wazenji zote zimekwenda wapi..? ndio kweli ikiwa mafuta yako hawa jamaa wa bara kweli watatuambiya tushauza mafuta hizi pesa zenu..?MAWEEEEEE
ikiwa mafuta yatapatikana zanzibar hizi ndio mali zitakazo kuja kununuwa mafuta zanzibar.
ona mambo haya unafikiri mzenji ataruhusiwa hata kukaribia tukisha ukubali mswada tu
basi tumekwisha maana ndio watajazana hapa kila kazi itafanywa na wao je sisi hatutaki kazi..?
 
Huu ndio uchibwaji wa petrol ambao unawatowa roho watanganyika wanataka kuwa lakini petrol ya zanzibar iwe yao na sasa kikwete na shein wanazungumza chini kwa chini kupitisha mswada wa katiba
maana katibu tuliyokuwa nayo sasa hawawezi kuchukuwa petrol ya watu wa zanzibar wazenji amkeni.

Pamoja na kuwa usiri umezidi kutawala katika mpango wa kutengeneza katiba mpya ifikapo 2014, timu ya Kikwete zinazuru sana Zanzibar na kuonana na viongozi wa SMZ (zaidi upande wa CCM) na kushawishi kuundwa haraka kwa katiba mpya.
Kwa habari tulizopata ni kuwa suala hilo sasa wamekubaliana liondoshwe kwa wananchi, na sasa cabinet ministers wa Zanzibar, ndio wataamua, na kupeleka mapendekezo yao serikalini – then, bungeni, kama ndio msimamo au uamuzi wa Zanzibar.
Jamani, tusifanye maskhara. Jamaa hawa wametukalia kooni. Hawatuachi. Kinachotakiwa ni MAFUTA ya ZANZIBAR tu, na sio ‘katiba mpya’.
Unajua katiba ya sasa ni vague (haina mashiko ya kisheria) juu ya suala la mafuta. Linaelea kisheria, si la Muungano wala Zanzibar. Wanalazimisha tu kuwa ni la Muungano. Ila Katiba mpya itapotengenezwa, hapo litakuwa la Muungano kihalali kabisa.
Katiba ya sasa – inaipa nafasi kubwa zaidi Zanzibar kuukataa Mungano kisheria; kulidai suala la mafuta kama lao (Zanzibar) kisheria zaidi. Kwa sababu Muungano hauko kisheria/kihalali. Mafuta yameingizwa kinyemela tu, kiwizi-wizi tu. Kwa sasa hivi, Zanzibar ina position nzuri ya kudai haki zake zote ndanbi Muungano. Lakini ikifanywa katiba mpya, tumekwisha. Mungano utahalalishwa zaidi, na rasilimali zote, zitakuwa zao.
Cabinet ya Zanzibar, kwa tulivyosikia, watakaa rasmi, baada ya kikao cha bajeti — Bunge na BLW. Hapo ndio utaanza mchakato wa kupata katiba mpya. Na Cabinet ya Zanzibar itaridhia suala hilo, kwa mantiki kuwa ‘mawaziir wote ni wamechaguliwa na wananchi wao/waiga kura…ni wajumbe wa BLW. Hiyo ndio logic yao. Kisheria, sio hivyo. Suala la Katiba ni la wananchi. sio la CCM wala CUF wala GNU au Kikwete na Shein. Na Kwa Zanzibar ni nyeti zaidi — ni suala linalogusa utaifa wa wananchi wa Zanzibar.
Jamani tuwe smart — tuikatae katiba mpya kwa hali yeyote ile na muungano pia tuukatae kwa hali yoyote ile. JK anataka sifa, analazimisha by 2014, katiba mpya iwe tayari. TUIKATAE, TUIPINGE NA TULAUMU HATA KAMA WATANUNA.
Tusikubali kufanyiwa kiini macho na JK wala Shein. Otherwise, tutaikosa nchi yetu ya ZANZIBAR.
J.KIKWETE NA KATIBA YAKE FEKI KAMA
MUUNGANO FEKI WA NYERERE JAMAA
YANAJIRUDIYA MAMBO HAYA AMKENI
katiba

SABABU ZA KUPINGWA MOTO VIBANDA VYA WATU WA BARA ZENJI


hawa ndio wazee wetu wamejitahidi kuilinda zenji yetu mpaka sasa sisi vijana tusipo ilinda watoto wetu watarithi nini..?

wao washakuwa wazee sisi vijana ndio tuilinde au tukubali kubatizwa mila,dasturi na utamaduni wa watu wengine kisha watoto wetu warithi hayo ya hao watu waliyotuleteya sio ya wazee wetu waliyotuachia na kutufundisha.

haya ndio tutakayo letewa zanzibar.


Kila nchi ina mila zake na disturi zake na utamaduni wake na sasa zanzibar ipo au imeshazama katika mkondo wa kupoteya kwa disturi,utamaduni na mila. pia  kuna wangeni wengi sana huingia hapa kiholela bila ya kibali chochote na wanapofika hapa wanaona watu ni wakimya sana na wapole basi wao wanaona kama hawa watu wa zanzibar kama ni washamba. bando hawajajuwa nini ulimwengu ndipo wanapojaribu kutuleteya mila zao desturi zao na utamaduni wao na ndio hapo panapozuka mzozo.

maana watu wa zanziba hawako tayari kubatizwa mila,desturi, na utamaduni wa watu wengine na sasa kumevamiwa katika kila fukwe za bahari na mashamba na mjini kwa watu tofauti kuna wanye kuja kwajili ya matembezi na kurudi makwao kuna wengine hujakutafuta maisha na kuishi hapa na kuna wanaokuja kujaribu kuibadilisha zanzibar kuwa zanzibar nyengine na hapo ndipo panapozuka mzozo ila maeneyo mengi sana ya hapa zanzibar sasa yana haribuwa na watu kama hawa.

Eneo lililoathirika lipo ndani ya Ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa kisiwa cha Unguja unaotambaa mwambao wa Bahari ya Hindi, hadi kusini mashariki mwa kisiwa.
Ni ukanda maarufu kwa shughuli za utalii zilizochipuka sana miaka ya 1990 baada ya serikali kutaka sekta ya utalii ikuzwe na kuchukua nafasi katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar.
Serikali ilileta sera hiyo katika jitihada zake za kufufua uchumi uliokuwa umedhoofu kwa kiwango kikubwa baada ya karafuu, zao maarufu lililokuwa likitegemewa, kupoteza nafasi ya kuwa zao kiongozi la biashara. Hiyo ilitokana na kuanguka kwa bei yake katika soko la dunia.
Ukanda huu unajumuisha vijiji vya Kizimkazi, Mtende, Makunduchi, Jambiani, Paje, Bwejuu, Michamvi, Uroa, Pongwe (Kusini), Kiwengwa, Pwanimchangani, Matemwe na Nungwi (Kaskazini).
Kwenye vijiji hivi, vingine vikiwa vinafungamana na vijisiwa vinavyotumika kwa shughuli za uvuvi, kuna hoteli kubwa za mtindo wa vijiji zilizojengwa kwenye fukwe nyeupe na bikira katika mandhari tulivu yanayoleta picha mwanana inayovutia watalii.
Ukiangalia kwa mtizamo finyu, unaweza kusema ni kweli tukio hilo ni matokeo ya chuki za kisiasa au ubaguzi wa kimuungano.
Vizuri uchimbue. Jipe muda upite maeneo haya; uyaone yalivyo chini juu, nje ndani; jadili na wenyeji na viongozi wao. Uliza asasi binafsi. Waulize viongozi wa taasisi na idara za kiserikali. Kila upande una mengi ya kuyasema.
Naringa nilipita maeneo haya kati ya mwaka 2003 na 2005. Nikazungumza na wananchi ambao ni mazao ya mabibi na mababu walioishi kwa zama na dahari.
Shughuli zao kuu ni uvuvi, kwa kuwa ni maeneo ya kando na bahari, na kilimo cha juu kwa kujaaliwa ardhi nzuri – japo sehemu yingine ni mawe na uwanda – kwa mazao ya chakula na biashara.
Lipo tatizo kubwa la uhusiano mbaya wa wawekezaji wa sekta ya utalii na wenyeji. (Waathirika si wawekezaji bali wajasiriamali kwa lugha ya leo. Wamejichomeka humo. Nitaeleza kwa undani hili).
Kihistoria wenyeji katika maeneo haya ni waumini wakubwa wa dini ya Kiislam. Wapo waliotokana na familia zilizotajika tangu kale kushiba elimu ya dini hii. Wengine walipata malezi katika msingi huo zaidi kuliko elimu dunia.
Ndiyo kusema katika maeneo haya, watu wazima, vijana wa sasa ni waumini makini wa Uislam. Imani hizo wanazikomaza kwa watoto wao.
Maisha ya jamii hizi yanajulikana yalivyo ya kihafidhina hasa panapokuja watu wapya kutaka kupenyeza utamaduni mgeni ukiwemo wa dini nyingine.
Ukifika maeneo haya, wakati wa sala wote wanakimbilia misikitini kusali; asubuhi mapema na magharibi wote (wanaume) hukusanyika vijiwe vya kahawa kwa ajili ya kuamkiana na kusimuliana yahusuyo maisha yao. Huarifiana ya kupwa na ya kujaa kuhusu miji yao, nchi yao na dunia yote.
Watoto wasiokwenda shule asubuhi au mchana hushinda madrasa kusoma Kur’an na mafundisho mbalimbali ya Kiislam. Lakini nao wakati wa sala hujumuika misikitini na wakubwa zao kusali.
Katika maeneo haya, shughuli zinazokutanisha wakaazi na wakaazi wa vijiji vingine vya jirani au kutoka maeneo ya mbali ni maziko, harusi, maulid na dhikri. Hakuna muziki humu. Hakuna ulevi. Hakuna ngoma nje ya mikusanyiko hiyo.
Msiojua mjue katika maeneo haya, kiasili, huwezi kusikia harufu ya bangi wala ulevi. Kabla ya utalii kuvuta kila mtu, hukukuwa na mvuta bangi; mtu ambaye kidogo alivumiliwa ni mvuta sigara. Basi.
Wakati ule, huwezi kuona mwanamke amevaa katika namna ambayo unaona sehemu yoyote ya mwili wake zaidi ya vidole vya miguu, uso na viganja vya mikono.
Hata watalii waliotembea mitaani, waliheshimu mila na silka hizi. Walielekezwa na wenye hoteli na waongozaji wao mavazi muafaka wanapotaka kuzunguka mitaani.
Miaka ya 1960, ilikuwa ni marufuku mtalii mwanamme kuvaa pensi (suruali kipande). Wanawake wakilazimika kujitanda khanga juu na kuvaa gauni refu kupita magoti.
Ulevi haukutoka nje ya eneo la stoo. Wanywaji wakihesabika, tena kwa leseni ya serikali. Maduka ya ulevi yalikuwa ya kuhesabu katika mjimkongwe. Asiye leseni alipotamani ulevi, alilazimika kupanga na mwenye nayo.
Ilikuwa ni marufuku mtalii – na mtu yeyote – kukutwa amelewa mchana, hususan siku za mwezi wa Ramadhan. Au kukuta mtu anakula mchana ndani ya mwezi huu.
Mikahawa yote ilifungwa mchana mpaka ifike magharibi watu wanapoenda kusali na kufungua. Hayo ni katika mji, fikiria vijijini ilikuaje?
Hata utalii ulipoimarika miaka ya 1990, ukiheshimu mila za watu wa Zanzibar kwa miaka mingi ya historia ya visiwa vya Unguja na Pemba.
Kuenea kwa watu waliojichomeka kwenye maeneo ya ukanda wa kaskazini na kusini mashariki kumebadilisha desturi hizi, mila hizi, imani hizi. Siku hizi kila kitu kinakwenda shaghalabaghala.
Leo, muziki unapigwa bila ya kusita tangu magharibi mpaka asubuhi kweupe. Mara kadhaa nishakuta muziki unanguruma mchana. Na muziki wa kizazi cha leo ulivyo mzito kutokana na teknolojia, usiombe kusikia.
Watalii wanatembea uchi – nasema uchi siyo nusu uchi. Watu waliojichomeka wanalewa mchana kweupe. Kutwa nzima ukipita maeneo ya ufukweni unakuta vikao vya walevi vipo kazini.
Tena watalii wanapita mitaani bukheri khamsa ishirini (bila ya hofu yoyote). Watalii wanadengua na wapenzi wao – wengine vijana wa ki Afrika – wakiwa wameshikana viuno na kunyonyana ndimi hadharani.
Huu ni utamaduni mpya kwa miji na uovu ifikiapo kwa wenyeji wa ukanda huu, niliokwishasema ni wahafidhina sana wa mila, desturi na imani zao.
Hata siku moja hawawezi kuvumilia kuona watoto wao wanajifunza mambo hayo. Ndio maana waliomba serikali idhibiti machafu haya.
Kuna suala la uhalali wa wajasiriamali hao kuwepo walipo. Ni tatizo la muda mrefu wananchi wamelalamika kuporwa ardhi waliyokuwa wakitumia kwa shughuli za kilimo. Serikali ni nzito kushughulikia haya.
Siyo tu nzito, ukweli imeendekeza siasa kulea desturi mbaya na gharama zinazidia wenyeji. Wanahasira. Sifurahii kilichotendeka, hapana. Najadili chimbuko. Kwamba wapi kulikosewa na haya ni madhara.
Itaendelea.

Monday, May 30, 2011

JE KWELI HIVI VIMBANDA HARAMA ZAKE NDIO HIZO MAMILLIONI WALIYOYATAJA AU UZUSHI TU..?

hii ni video ya vijibanda vilivyo chomwa moto zenji vya watu wa bara ambao inavyosemekana ni kuwa hawakuchomewa mpaka walipo onywa wasiuze bangi,unga(drugs)pombe na wanawake wao kujiuza kwa wazungu na bathi ya vijana kuwashikashika wasichana wakizenji matiti ktk kijiji cha pwani mchangani ila hawakusikiya na kuendeleya na mambo yao na pia inavyosemekana wanakijiji walipeleka habari hata serekalini lakini hawakuchukuliwa hatuwa yoyote ndio vijana wa kijiji wakamuwa kuowondowa uchafuu huu unaofanywa hapa kijijini.

huyu ni msichana mwenye kabila la kimasai.
hii ndio zenji sasa.
jione zenji ya leo.
hawa ni wamasai wakinyowana nywele.
zenji
darajani hapa masai mtu wazenji tukowapi..?
hili ndio ngari la ngombe mpaka leo bado yako.
haluwa na tende kama kawa ndani ya zenji.
zenji yetu kisiwa cha neema na baraka ila kinafisidiwa ona nanasi linavyo cheka
ona neema ilivyojaa
ramathani unafunguwa kwa maji ya madafu swafi kabisa.
wapi wapi kama sio zenji jamaa amkeni znz isifunjwe
ona dolphins wa zenji cheki
Forothani Gardens Zanzibar
foro zamani ukienda wazenji na kidogo wazungu sasa ni wamasai tu
zenji imevamiwa
hata watoto wetu wa kike hawana raha tena masai kila mahali ona hapa
watoto wetu wataridhi nini ..?
ona wanavyogombania honda utafikiri wanajuwa kuendesha na mzungu anawangalia tu
je hii ni zenji unayo ijuwa wewe ulipo zaliwa..?
faida ya biashara ya watali ndio hii.
hapa ni uroa znz.
hii ndio kizimkazi masai tu.
fukwe zote za bahari ya znz zimeja wala hawana kazi maalum wanazurura tu
ona utajiri wa wazenji unaofujwa na watu wasio na imani nayo.
haya ndio maisha yetu pole pole hatuna haraka ila sasa tumemezwa tunapelekwa mbio.
nymba zetu na nithamu na usafi ila sasa haya yote yanafujwa
stone town
kwa mafungu mashaa allah mungu ibariki znz.
ona neema ya zenji na baraka zake mungu ibariki znz.
wazungu wakiwaona hawa hawataki kuondoka
zenji yetu jamaa musijisahau mtu kwao.
jambiyani ndio hapa.
haw ndio wenyeji sasa.
na hawa ndio wangeni.
ione zenji ilivyo tuliya.
mzungu akinyusha miguu kwa baiskili kuelekeya kwenye beach huko mashamba.
hawa ndio wanaowafanya masai wamiminike znz kila kukicha
karibu mzungu wakakaribiya wamasai.
watu wote wanajuwa kuwa znz sisi ni masai sasa na wazungu pia wanaiga
je bado tu tutasema hatujaingiliwa..?
kila kichochoro kuna masai kila njia kuna masai
ona hapa dada zetu wanajaribu kununuwa na wao wapo tu wameka hawa kazi yoyote.
siku za mvua zenji
wazenji nchi inamalizwa.
nchi inatuaga jamaa.
tutakwenda wapi sisi wazenji..?
unaona akirudi ulaya anawambiya rafiki zake wazanzibar ni wamasai mimi nina boyfriend wangu znz ni masai.
fukwe zote zote ni wao tu hapa zenji sasa.
labda baada ya miaka 20 watachezeya timu ya malindi,km km,ksc,small simba n.k.
kipofu kaona jongoo ndio hii
shangani kwendeya posta.
mzungu akiruka ruka kwa furaha yuko zenji
anaona raha

hawa ni watali wakutoka..?
hatukatai watu kuja znz maana sisi pia tunakwenda nchi za watu na pia tunaishi na kutafuta maisha
lakini hii sasa imekuwa ndio mwisho wa matatizo maana wanalala nje hawa jamaa na sasa hivi huko
mkoa wa kaskazini A na B kumeibuka ubakaji wa hali ya juu hapa zenji abao haujapata kutokeya kabisa
si semi kama ndio wamasai wanafanya haya ila wao pia wamejaa huko kaskazini A na B na jambojengine kukosa nithamu ya uwingiaji watu ovyo ovyo hapa nchini znz ndio kulikosababisha wanawake wetu wengi sasa kubakwa na ukienda polisi wanasema tutamtafuta au hata hatujuwi tukamtafute wapi aliye kubaka na atakuwa ashakimbia huu ni kuonyesha wazi kuwa hata polisi wanaona raha wanawake wetu  na dada zetu na binti zetu na anti zetu na mama zetu wa znz kubakwa maana  baada ya kuchomwa vibanda waliweka patro ya kuwasaka moja baada ya mwengine wengine wameshikwa na wengine bado ila ubakwaji ndio tutamtafuta au hata hatujuwi tukamtafute wapi maana atakuwa ashakimbia huyu hii ni kuonyesha wazi wazi kuwa hawana uchungu sio kwa kuwa sio dada,mama,anti,bint zao waliyo bakwa na hata kama ni dada zao wao huko bara ndio kama mila ukitaka kuowa kuna makabila mengine ni mpaka ubake msichana ndio awe wako sasa ndio yanayo letwa hapa znz na serekali kimya kama hawako vili je wazenji tunaelekeya wapi...?