Friday, November 20, 2015

VIDEO PART 3-NCHINI TANGANYIKA BUNGENI DODOMA LEO WAMEITHIBITISHIA DUNIA KUWA HAKUNA DEMOKRASI NI CCM NA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA WALIANZA ZANZIBAR SASA HATA HUKO KWAO TANGANYIKA NI HAYO HAYO


MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF
SPIKA WA BUNGE PIA KWISHA HAFAI HATA KIDOGO ASHATHIBITISHA KUWA YEYE NI MKEREKETWA WA CCM NA ATAITUMIKIA CCM NA KUKANDAMIZA DIMOKRASI NA KUENDELEZA MKONO WA CHUMA WA CCM HILI LILIKUWA JARIBIO LAKE LA KWANZA KUWA MUADILIFU KWA PANDE ZOTE MBILI LAKINI WAPI NJAA INAMUUMA CCM NDIO KUNA ULAJI NJAA KAIWEKA KICHWANI KATUMIA USPIKA WAKE KUHALALISHA NA KUENDELEZA HARAMU ZA CCM SHEIN SIO RAIS,BALOZI MKAZI SIO MAKAMO NA KIFICHO SIO SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI WANAFANYA NINI...? UKILA NYAMA YA MTU HATAWACHA UTAENDELEA KUILA TU NDIO YA CCM.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment