Monday, November 2, 2015

NCHINI ZANZIBAR-SHEIN NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WAITAWALA NCHI YA ZANZIBAR KWA GUVU ZA KIJESHI


IKULU TAMU HUTAKI KUTOKA UBINADAMU UMAKUTOKA HATA MUNGU HUMUOGOPE UMESHINDWA UCHANGUZI MARA MBILI 2010 UMESHINDWA NA HUU PIA 2015 UMESHINDWA NA BADO UNAFANYA UKIRITIMBA ILI UBAKI KAA UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYA NA UTATAKIWA UJIBU HAKUNA KIKWETE,BALOZI MKAZI,WALA MUHAMMED ABOUD IKINGIA KABURI NA SIKU YAKIYA WAO WANAYAO YA KUJIBU MZEE KARUME YUKO WAPI...? NYERERE YUKO WAPI....?

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetoa tamko kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, ataendelea kushikilia wadhifa huo hadi hapo rais mwingine atakapochaguliwa kihalali na kuapishwa.
Akitoa taarifa ya Serikali kwa vyombo vya habari mjini hapa jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, alisema Katiba ya Zanzibar inamruhusu kuendelea na wadhifa huo hadi hapo atakapoapishwa Rais mwingine.
mkoani
"Tunapenda kuwataarifu wananchi kwamba kwa mujibu wa kifungu cha 28 (1) (a) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 kinaweka sharti la kwamba mtu ataendelea kuwa Rais hadi Rais anayefuata ale kiapo cha kuwa Rais," alisema na kuongeza;

"Hivyo kwa kuzingatia maelekezo hayo ya Katiba, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dkt. Ali Mohamed Shein, ipo na itaendelea kuwepo hadi hapo uchaguzi utakapokamilika na Rais atakayechaguliwa kula kiapo."
Mohamed alisema ni vizuri wananchi wakaelewa Rais wa Zanzibar anachaguliwa kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha Katiba ya Zanzibar na sheria ya uchaguzi namba 11 ya 1984 ambayo imeweka utaratibu wa matokeo ya uchaguzi huo.
12190038_10205263573132780_8067397132018384983_n
Sheria ya uchaguzi kifungu cha 42 (4) kinaeleza kuwa mgombea nafasi ya urais atatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar baada ya kupata kura nyingi za halali.
5160227_orig
Aidha, kifungu cha 42 (5) cha sheria ya uchaguzi kinakataza kwa mtu au taasisi yoyote kutangaza matokeo ya uchaguzi kinyume na sheria ya uchaguzi; na ni kosa la jinai kufanya hivyo."

"Serikali haitamvumilia mtu yeyote atakayekiuka sheria na atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Na kwa taarifa hii, Serikali inaviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria kwa wale wote walioanza kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri wananchi waendelee kuwa watulivu na kusikiliza taarifa za Serikali" alisema Aboud.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment