Thursday, November 19, 2015

VIDEO-BUNJU VUAI ALI VUAI ANA IMANI UCHAGUZI UTARUDIWA-TUNAKULIZA KWA SHERIA IPI AU KATIBA IPI..?? KUSOMA SILAZIMA UTOTONI HATA UKUBWANI WATU WANASOMA VIDEO HIZI ZITAKUSAIDI KUSOMA SHERIA WASIKILIZE WANASHERIA UJIELIMISHE UAPUKE KUWA KATIKA KUNDI LA VICHWA VYA SAMAKI



Alipoulizwa na waandishi wa habari mjini hapa nchini Zanzibar jana kuhusiana na mazungumzo hayo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM nchini Zanzibar,Bunju Vuai Ali Vuai, alisema hana taarifa yoyote kuhusu kilichozungumzwa na kuafikiwa.Mazungumzo hayo yanashirikisha Dk. Shein ambaye alikuwa mmoja wa wagombea urais kupitia CCM, aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad na viongozi wastaafu wa kitaifa.Bunju Vuai Ali Vuai alisema chama chake hakifahamu chochote kilichozungumzwa katika vikao hivyo ambavyo vimekuwa vikiwashirikisha marais wastaafu akiwamo, Ali Hassan Mwinyi, Aman Abeid Karume na Salmin Amour.((utafahamu vipi na wewe unakili za kichwa cha samaki))


Alisema wakati mazungumzo hayo yakiendelea, chama chake kinaendelea kusubiri uchaguzi wa marudio((ndio uchaguzi wa marudio kama tulivyo muambia yule Bunju mwenzio Mohammed Aboud ikiwa uchaguzi ni mke wako basi sawa tutaurudia tena la kama uchaguzi ni wa nchi nzima basi hakuna kurudia uchaguzi endeleni kuota mchana.)) kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuwa matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu yamefutwa rasmi.((yamefutwa na nani na sheria ipi au kifungu kipi cha katiba kilicho wapa nyinyi CCM kufuta uchaguzi ...?tupeni jibu kama hamna kaini kimya njaa mumeziweka kwenye vichwa))Alisema kazi kubwa ambayo wamekuwa wakiifanya CCM ni kuhamasisha wafuasi wake((wafuasi wapi hao mnao wapa vitambulisho vya uzanzibari japo sio wazanzibari,waficha nyuso wanao piga watu ovyo,watoto wadogo ambao sio umri wao kupiga kura nyinyi mnawapigisha kura au maiti walio kufu la kini nyinyi bado mnawatumia katika kupiga kura....???)) kushiriki kwa wingi katika uchaguzi utakapofanyika baada ya ZEC kutangaza tarehe ya kufanyika uchaguzi huo.“Sisi tunachosubiri ni uchaguzi wa marejeo na tuna imani kuwa uchaguzi huo utafanyika kwani serikali haiwezi kupatikana bila ya kuwapo kwa uchaguzi,” alisema Bunju Vuai.((mna imani kwahiyo mushajuwa kuwa haurudiwi ila tu mnajipa moyo kuwa labda wananchi wa Zanzibar watakubali upumbavu wenu na njaa zenu mulizo weka kwenye kichwa na ugonjwa mulio upata wa BT labda wazanzibari watawaonea huruma ili waurudie uchaguzi mavi yenu mumewatesa watu miaka zaidi ya 50 kama hamjatosheka na kuiba basi hamuibi tena.))

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment