Thursday, November 26, 2015

MAKUBWA HAYA....WASOMALI WA CCM KISONGE KUMBE NDIO HAWA AKAAA

WASOMALI WA CCM NA KISONGE HAWA HAPAWAJUE WASOMALI By Benn Haidar
Tokea Uchaguzi Umalizike bila Ya Mshindi aliechaguliwa Kupata Uraisi Kuapishwa. Kumekuwa na Mizengwe Mingi na Bugudha za Hapa na Pale Zinazofanywa na Watwana, Wahadimu ambao Hulipwa kuandika Mabango yao Pale KISONGE... Na Kuwatukana Wapemba au Wanguja, Wazanzibari Wowote Wale wanaotafuta haki Zao za Kidemocrasia.Hivi Majuzi Nduguzetu Wanaoisho UK walifanya Maandamano Makubwa na Ya Aina yake Kupeleka Ujumbe Kwa Waziri Mkuu wa Uiengereza Ili Aishindikize Serikali ya Tanganyika/ ((Tanzania)) juu ya Kadhia ya Kutangazwa Mshindi wa uraisi. Kwasababu hakuna asiejuwa kwamba Njama zile zilifanywa na CCM Zanzibar lakini Wakapewa Support ya Kijeshi Kutoka nchi ya Tanganyika Chini Ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Kama Tunavojuwa UK au London Kuna Watanganyika Wengi na Wazanzibari Wengi ambao Ni Watoto Wa Wakubwa; lakini Wamekuja Kujiripua Hapa UK na wamejiripua kama wao ni WASOMALI. chakusikitisha au kufurahisha Watoto hao sio wa masikini hahehohe mbali ni watoto wa Vigoo wa CCM na wakereketwa na (Mahafidhuna wa SMZ na wengine ni Watoto wa Mawaziri wa nchi ya Tanganyika). Tunawajuwa mpaka wanapokaa, lakushangaza Watoto Hawa wa Wakubwa ambao wamekuja Kutafuta Maisha Bora atii kama wale Wanyonge Wa Kizanzibari Waliovunjiwa Majumba Yao na Kupigwa na Polisi Huku Baba Za Watoto Hawa Wakifurahia kwa sababu wao ndio wenye madaraka na ndio wanao ongoza nchi. Sasa Wamekuwa na Maisha ambayo hayana tofauti na Yule Mpumbavu mtoto wa mlala hoi au kama wanvyo tuita siku hizi Malofaa aliekuja UK kwakuvunjiwa Nyumba na Kufukuzwa Zanzibar kama Kuku. Kwa hivyo Tunawaletea taarifa hizi Watu Wa CCM Kisonge kama hawajuwi nani ni WASOMALI Hawa hapa tunawatajia:
1.Unguja mjini wapo wasomali (wa donge) watoto wa Shamhuna wapo hapa UK- ambao ndio Wamejiripua KIsomali. Choyo na Chuki Walizorithi kutoka DONGE Bado Wanazibeba na kuzileta mpaka Hapa UK. Inachekesha Kuona Watoto Hawa waliokuwa Wakijiona kama Princess leo Wanapokea Voucher ya £ pound 40 kwa Wiki na Wanaishi Nyumba kama walizoishi Wale Watu waliofukuzwa Zanzibar.. Zaidi Watu Waliofukuzwa na Kunyanyaswa Zanzibar Wana Maisha Bora zaidi na Elimu Kuliko Hawa Watoto wa SHAMUHUNA majina yao kapuni au tumeyahifadhi.
2. Wapo wasomali (wa wawi) watoto wa kidonge cha lami marehemu Omar Ali Juma. mmoja wa kike na mmoja wa Kiume- ambao ni mama huruma na mwengine ni mishoga majina kapuni au tumeyahifadhi. Hawa walisota hata Hiyo Sheria ya Kisomali Hawakuipata Sijuwi kama Hawajajiripua KI-SUDAN kwasababu Sura Zao hazina Tofauti na Balozi Mkaazi Sefu Iddi.
3.Wapo wasomali (wa makunduchi) watoto wa KIFICHO tena sio mmoja tu alimuradi Pesa yote ya Dhulma anayoipata Kwenye Baraza la Uwakilishi amefanyia Safari Wanawe kuja UK. Aliwaona Watoto wa Walalahoi na Wapumbavu na Malofaa kama wanavo tuita Wanafaidika na KIFICHO akaona Alete Mji Wa Makundichi hapa UK. Lakusikitisha Watoto wa KIFICHO kuna Wengine MISENGE majina kapuni au tumeyahifadhi ILIKUJA UK na eti Wakaidanganya Serikali ya UK kwamba walikimbia SOMALI ( Sio Zanzibar) Kwakuogopa KUULIWA Zanzibar... Suali Watauliwaje Zanzibar Wakati SERIKALI ya SMZ ni Ya Baba yao KIFICHO na Kundi lake la KIhadimu.....??
4. Wapo wasomali watoto wa yule Mvunja Nyumba za ndugu zetu masikini wa KIPEMBA wakati wa Serikali ya Komandoo wa udongo- Abdalla Rashid. Wasomali Hawa Wao Wamefurutu Adda maana ni MALAYA hata nguo hawavai basi mtihani tu. Sisi tunaona ni Radhi za Wapemba Wasiokuwa na Hatia Zimewarudi Watoto Hawa Wa Abdallah Rashid.
5. Wapo Watoto Wa Kisomali Ambao ni watoto Wa MASAUNI YUSUF aliekuwa Mwenyekiti Au Msaadizi wa TUME 1995- Akaichukua Haki ya Wazanzibari Akampa Salimini Amour. Jaza Yake badala yakuwatumikia Wazanzibari Wote Aliwagawa Wapemba na Kuwavunjia Majumba yao, Kuwafukuza Kazi na Kuwahamisha hamisha.. Mpaka leo Hatumsahau .. Lakini Allah ndie Mlipaji..Watoto wa Masauni ni Majina kapuni au Tunayahifadhi Mmoja anaishi Marekani na Amekuwa Malaya Mkubwa... Walikimbia 2000 Wakahamia Manchester na Sasa Conventry..
Kwahivo Tunataka kuwambia CCM SMZ na Kundi lao la Wahuni pale Kisonge kwamba. Viongozi wa CCM wote watoto wao ni wakimbizi wa Kisomali Uingereza, nani asiejua haya!!!!.....???
Benn Haidar
PELEKA SALAMU KISONGE JE SASA MUSHAWAJUWA WASOMALI WA KISONGE.....???? 
PELEKA SALAMU KISONGE
Benn Haidar...............micharazooooo........


KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment