Tuesday, November 3, 2015

NCHINI ZANZIBAR WAMEPIGA KURA MATOKEO YAMEBAKI KUWA HADITHI MAANA YAMEPINDULIWA KIJESHI


MKUU WA BRIGEDI WA JESHI LA NYUKI NCHINI ZANZIBAR SHARIFF SHEKH OTHMAN
KAMA UNAHUSIKA AU HUHUSIKI LAKINI UMO NDANI YA JESHI TAFUTA JIBU KABISA LA KUMJIBU M.MUNGU SIKU YA KIYAMA KWA THULMA WANAZO FANYIWA WAZANZIBARI,MZEE KARUME YUKO WAPI...? JOHN OKELLO YUKO WAPI...? STALIN ALIKUWA JESHI NA RAISI WA URUSSIA YUKO WAPI LEO..? HITLER ALIYETAKA KUTAWALA DUNIA JESHI NA RAISI WA ULAYA NZIMA KWA LAZIMA KAWATAWALA YUKO WAPI LEO....? SADDAM HUSSEIN JESHI NA RAISI WA IRAK YUKO WAPI LEO..? GADDAF JESHI NA RAISI WA LIBYA YUKO WAPI LEO...? HUSSEIN MUBAROUK JESHI NA RAISI WA MISRI YUMAJI JUU YA KITANDA KILA SIKU KOTINI USIDANGANYIKE NA CHEO,AFYA,UZIMA MAANA VYOTE HUNA UHAKIKA NAVYO KUWA LINI VITAKUPONYUKA USIMJALI SHEIN MJALA M.MUNGU.

JENERALI D.A..MWANMUNYANGE; MKUU WA MAJESHI YA ULINZI WA WANANCHINI NCHINI TANGANYIKA UNAKUBALI KUTIMIWA KWA WATU WACHACHE WANAO PENDA MADARAKA JAPO KUWA WANANCHI HAWA WATAKI TENA KAA UKIJUWA HAUTAKU MILELE JESHI MKUBWA NA VYEO IPO SIKU UTARITAYA,UTAZEEKA,UNGONJWA AU HATA MAUTI KUKUFIKIA KAMA YALIVYO MFIKIA BABA YENU WA TAIFA NYERERE YUKO WAPI..? WEWE PIA JIANDAE VYA KUMUELEZA M.MUNGU KWA KUSHADIDIA THULMA ZA CCM KUBAKI MADARAKANI STALIN ALIKUWA JESHI NA RAISI WA RUSSIA YUKO WAPI LEO..? HITLER ALIYETAKA KUTAWALA DUNIA JESHI NA RAISI WA ULAYA NZIMA KWA LAZIMA KAWATAWALA YUKO WAPI LEO....? SADDAM HUSSEIN JESHI NA RAISI WA IRAK YUKO WAPI LEO..? GADDAF JESHI NA RAISI WA LIBYA YUKO WAPI LEO...? HUSSEIN MUBAROUK JESHI NA RAISI WA MISRI YUMAJI JUU YA KITANDA KILA SIKU KOTINI USIDANGANYIKE NA CHEO,AFYA,UZIMA MAANA VYOTE HUNA UHAKIKA NAVYO KUWA LINI VITAKUPONYUKA USIMJALI KIKWETE MJALI M.MUNGU.
Katika hatua nyingine, askari kadhaa wa jeshi kivita walionekana wakichukua jukumu la kulinda makao makuu ya ZEC ikiwa ni siku kadhaa sasa tangu Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha, atangaze kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo Zanzibar. Wanajeshi hao walianza kuonekana tangu juzi wakilinda majengo ya makao makuu ya ZEC, katika Mtaa wa Maisara. Awali, shughuli za ulinzi zilikuwa zikisimamiwa na askari wa Jeshi la Polisi kama kawaida ilivyo lakini hafla waliondolewa na kuanza kusimamiwa na majeshi wa kivita, hasa katika maeneo ya kuingia na kutoka katika ofisi hizo. Wakizungumza na Muandishi wetu jana, baadhi ya wafanyakazi wa ZEC walisema waliona wanajeshi wakiimarisha ulinzi katika majengo yote kuanzia ofisi za ZEC mjini na pia kwenye makao makuu ya tume hiyo ZEC. “Wanajeshi wamekuwa wakitutaka kuonyesha vitambulisho na ukiwa na gari lazima upekuliwe kabla ya kuelekea unakokwenda. Hii ni mara ya kwanza kwangu kujitokeza kwa hali kama hii tangu niwe mfanyakazi katika tume hii ya uchaguzi,” alisema mmoja wa watumishi wa ZEC kumuambia Mwandishi wetu aliyekataa kutaja jina lake.

Alisema wanajeshi hao wamekuwa wakichukua majina yao, namba za simu na namba za usajili za magari yote yanayoingia katika ofisi za tume hiyo. Awali, baadhi ya wanajeshi walionekana wakiimarisha ulinzi katika kituo cha matangazo ya matokeo ya uchaguzi kwenye hoteli ya Bwawani kabla Mwenyekiti wa ZEC kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi na baada ya uchaguzi huo kufutwa tu, na kituo hicho cha matangazo ya kura kikafunga shughuli zake.Maeneo mengine ambayo Muandishi wetu ilishuhudia wanajeshi wakilinda kabla ya kufanyika uchaguzi na baada ya hapo ni kwenye Kituo cha Televisheni na Redio cha Shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC), Mnara wa Kumbukumbu Kisonge, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume, Bandari na pia kwenye viwanja vya kusherehekea watoto vya Kariakoo.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.


No comments:

Post a Comment