Tuesday, November 3, 2015

VIDEO-NCHINI TANGANYIKA JE LUKUVI ATAKUWA WAZIRI MKUU WA SEREKALI MPYA WA NCHI YA TANGANYIKA.....???

KUNA KAMPENI KUBWA ZINAENDELEA HUKO NCHINI TANGANYIKA KWA POMBE AMTEUE LUKUVI KUWA WAZIRI MKUU WA NCHI YA TANGANYIKA SOTE TUNAJUWA BADO TUMO KATIKA HUO MUUNGANO FEKI SEREKALI MBILI KUELEKEA MOJA KWA HIYO NDIO ATAKUWA PIA NI WAZIRI MKUU WA WOTE.JAPO KUWA WAZIRI MKUU HATUHUSU LAKINI,HUYU NI ADUI MKUU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR.JE TUMESAHAU MANENO ALOSEMA YA CHUKI DHIDI YA WAZANZIBARI NA UISLAMU NIMEIWEKA VIDEO HII KUWAKUMBUSHA WALIO SAHAU.HUU NI MPAGO MZIMA HUKU POMBE ANAPISHWA KUWA RAISI WA NCHI TANGANYIKA KWA KURA ZA WAZANZIBARI WALIO AMBIWA ZIMEFUTWA NA TUME YA UCHAGUZI ZEC LAKINI KURA HIZO HIZO NI HALALI NA POMBE ATAPISHWA NAZO.HUKU WASHAMUWEKA TENA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD NA WAZANZIBARI CHINI YA ULINZI WA KIJESHI. WAKIWACHEZESHA FOLITI NA GOMA YA MDUWARA ILI WAKUBALI UCHAGUZI UREJEWE, SHEIN KAPOWA IKULU RAHA MUSTAREHE JAPO KUWA KATIBA HAIRUHUSU, TANGANYIKA INAANDA VIONGOZI WAKUIMALIZA NCHI YA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI KWA UJUMLA RAISI POMBE,MAKAMU SAMIA,WAZIRI MKUU LUKUVI , JESHI NCHI ZIMA LIMEZAGA AMAKWELI IKIWA MPAKA SASA WAZANZIBARI HAMJAMINI KUWA NI KOLONI LA TANGANYIKA WALA HAMTAMINI TENA MUMO NDANI YA USINGIZI MZITO KABISA.


KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment