Thursday, July 28, 2011

WAZENJI MUNAO TAKA KUOWA WATANGANYIKA FIKIRIENI KWANZAKudaadeki! Watanganyika wanaendelea kufanya mambo ya kutisha, tukio la dereva wa malori, Asajile au kwa jina maarufu ‘White’ kufanya uchafu na wake za watu, na nidhambi kubwa ila sio kwa dereva huyu ilikuwa ni raha na faraja kwake kuwafanya uchafuu huu na wake za watu tena sio moja mbali wawili kwa wakati moja bila ya wasi wasi kama unavyo waona hapo wanavyo kula raha za dunia.
mwandishi wetu,alizinasa picha ambazo zinamuonesha White akifanya vitendo vichafu na wanawake wawili, Janet na Sikuzani ambao imethibitika ni wake za watu wote wa wili.Chanzo chetu cha habari kimepasha kuwa White aliwapa Janet na Sikuzani fedha, kisha kwenda nao kwenye gesti moja iliyopo Manzese, Dar es Salaam ambako walifanya ufuska wao na kuanza kupiga picha hizi.pia Janet na Sikuzani ni wafanyakazi wa hoteli moja iliyopo Kata ya Manzese, Dar es Salaam na kwamba wanawake hao walishawishika baada ya kuhongwa shilingi 20,000 kila mmoja.“Janet ameolewa kwa ndoa kabisa, yeye na mume wake wanaishi Magomeni tangu walipofika mjini, wakitokea kijijini kwao Usoke, Tabora miaka mitatu iliyopita. Huyo Sikuzani anaishi na mwanaume wake Tip Top, Manzese kwa miaka mingi sasa, kwa hiyo naye ni mke wa mtu,“Ni aibu, wake za watu wanashawishika kufanya hayo mambo kwa tamaa ya fedha, tena hela yenyewe shilingi 20,000, aibu sana. Huyo White aliwaambia kuwa wanapiga picha kwa faida yake ili awe anawakumbuka. “Eti anataka kuweka kumbukumbu. Hao wanawake wenyewe sijui ni ushamba au uroho wa fedha, wakakubali kufanya huo uchafu na kupiga picha kama unavyoziona hii ndio tanganyika.”          MSAKO WA WATUHUMIWA.Baada ya kupata tuhuma kamili za watu hao, sisi tulingia kazini na kuwasaka, wa kwanza kupatikana alikuwa ni White ambaye alipooneshwa picha alikuwa mbogo: “Wewe hizo picha umezipata wapi? Hizo ni kwa ajili yangu mwenyewe, hao wanawake wana waume zao, mtanitafutia matatizo hiyo habari ikitoka alisema white.”White, aligoma kutoa ushirikiano kuhusiana picha hizo, badala yake alitaka aambiwe mahali ambapo mwandishi wetu alizipata.Janet alikutwa kazini kwake Jumatatu (juzi), alipooneshwa picha alisema: “Sijui itakuwaje mume wangu akiona. Ila nyie wadaku mnapenda sana kufuatilia maisha ya watu. Andikeni hiyo habari halafu nitawaonesha kuwa mimi ni mtoto wa Kinyamwezi. ”anajaribu kutisha watu kwa kutumiya kabila hajuwi ni mambo ya kizamani hahahahaha.Sikuzani hakuweza kupatikana mpaka tunaondoka na kurundi mtamboni.KUHUSU MAADILI JE HAYA NDIO MAADILI YENU WATANGANYIKA..?Huu ni uchafu kufanywa na watu. Inawezekana White ameona sawa lakini vipi kwa wanawake hao ambao ni wake za watu AU NDIO MUMEZOWEA KUNYUKANA WAKE ZENU NDIO MAANA.? Ni vizuri Watanganyika hata UKIMWI HAMUUWOGOPI MUNANYUKA TU WAKE ZAWATU NA HAO WAKE ZAWATU MIGUU YAO HAIFUNGIKI IWEZI KILA MWANAMUME WAMUONAYE UDENDA WA CHINI UNAWATOKA WANATAKA AWENYUKI DUUUUUUUH,BASI MKAE MKIJUWA KUWA UKIMWI upo na bado unaendelea kuchanua, mpaka sasa hakujawa na tiba ya uhakika.

1 comment:

  1. SI BORA YA WHITE ANAYEKULA WAKE ZA WATU KULIKO WAZANZIBAR WANAOKULA MASHOGA, NYIE WENYEWE MNATEMBEZA BAKORA KWA WAKE ZA WATU NA WAJANE, ACHENI KUJIFANYA WASTAARABU LABDA KWA ASIWAJUA. NISHAKAA SANA ZANZIBAR HAKUNA MALAYA KAMA MADEMU WA ZANZIBAR, TENA UNAWEZA KUGONGA HATA KWA CHIPSI TU.............NAWAFAHAMU SANA YAANI.

    ReplyDelete