Anachekelea SUDANI KUJITENGA LAKINI BACK HOME ANAKANDAMIZA WAZENJI.
Mimi sijawafahamu viongozi wetu wa SMZ(BLW) wamekusudia nini kusema kila kitu tusubiri maoni ya katiba ya Muungano wa Tanzania ili tutowe maoni yetu ktk maswala magumu ya kero za Muungano?.
Sasa nauliza maoni ya Wzanzibar yatakuwa tafauti na ya Watanzania Bara au tutatiwa ktk mkumbo wa wote ni Wtanzania?.Maana ikiwa bada ya mauzo muisabu mapato ni mtu moja ambae ni Bunge la Muungano ambalo lina Wabunge wachache kutoka Zanzibar ukilinganicha na asilimia ya Wabunge wa Tanzania Bara.
Jee tutaamini vipi kuwa Zanzibar na Wazanzibar maoni yao yataisabiwa kama ni nchi wakati wenzetu walikwicha sema Zanzibar sio nchi na nisehemu tu ya Muungano wa Tanzania sasa kweli tutakuwa na power ktk Bunge as Zanzibar kuheshimiwa maoni yetu na kutolewa mamuzi kwa udogo wetu wa wabunge ktk Baraza?.Mimi hapa pananipa wasi wasi mkubwa kuona kuwa ikiwa Baraza letu Wenyewe la Uwakilishi halikujikaza ili Zanzibar kuwa na Sehemu ya maoni yake binafsi basi kusubiri maoni ya Sitta nikuja kumalizwa na kusubiri hasara ktk Bunge.Wenzetu nia yao na lengo lao sio kuipa nafasi ya kujiamuliya mambo yao Zanzibar ndio ukaona wanavyo kwamisha mambo na kuvuruga vipi leo wakatae mfumo wa Serekali tatu ambayo ya tatu ndio ya shirikisho wakubali mfumo wa Serekali mbili ambayo hii ya pili ni ya Muungano na Zanzibar iko lakini iko wapi Tanganyika? au hii ya pili ndio Tanganyika?Mimi sizani kuwa tukipeleka mamuzi yetu kwenye Bunge kuamuliwa tunaweza kupata nusura.

JE HUU SIO UNAFIKI...?ANAFURAHIYA SUDANI KUJITENGA WAKATI ANAWAKANDAMIZA WAZENJI AMBAO KILA KUKICHA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO NA WANYIKAAAAAAAAA.
WAZENJI KAMA HATUJA AMKA WALA HATUAMKI TENA HUYU NI MTOTO WA NYOKA HAWEZI KUWA KUKU ATAKUWA NI NYOKA TU SASA HUYU KATOKANA NA NYERERE ATAKUWA NANI....?HAYA NDIO ALIYOKUWA AKIYATAKA NYERERE ILA HAKUFANIKIWA SASA HUYU ANAMALIZIA BIASHARA SUDANI IMEJITANGA KISHO UTASIKIA IMEUGANA NA TANZANIA NA IKIUGANA TU BASI WOTE HAO WATALETWA Z;BAR NAKAMA HAMUAMINI NGOJENI MUONE.
hata huyu raisi wa south sudan anamuangaliya kwa hathari anamjuwa kama ni nyoka ona hapa kwenye picha na unafiki wake kama vile yeye anafanya ungwana tanzania wakati tushansema HATUTAKI MUUNGANO
MUONENI JINSI ALIVYO SHADIDIA NA KUFURAHI KUWA IMEJITENGA KAMA YEYE NI RAISI MZURI ALIKUWA AWAPATANISHE ILI LAO LIWE MOJA NA SUDANI IBAKI KTK UMOJA ILA HAPANA YEYE NA MKWAPAA WAMETIA FITINA MPAKA IMEJITENGA KISHA AKIJA ZNZ ANASEMA MUUNGANO UDUMU TUDUMISHENI MUUNGANO NA KULINDA KWA AINA YOYOTE MBONA HAKUWAMBIA WASUDANI HIVYO MNAFIKI MKUBWA.HII YOTE NI M/MUNGU ANATAKA KUWAONYESHA WAZENJI WANAOJIDANGANYA KUWA KIKWETE NI MZURI NA ANAPENDA AMANI NA WATU WA ZNZ ANAWAONYESHA HAYA HUYU HAPA KIKWETE WENU MUNAMUONA YUKO WAPI NA ANASHADIDIA WAPI NA NYINYI ANAKUPELEKENI WAPI AU NDIO TUMEKUWA HATUONI SISI WAZENJI...?
No comments:
Post a Comment