Friday, July 29, 2011

MAALIM SEIF NDIE ANAYEJUWA NINI MAANA YA KUWA KIONGOZI

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Serikali inalenga kupanua wigo wa ushirikiano kati yake na Serikali ya Uturuki, ili nchi hiyo iweze kuongeza nafasi za masomo katika sekta ya Afya, kwa vijana wa Zanzibar.Amesema hayo leo Ofisini kwake Migombani wakati alipokutana na jopo la Madaktari 18 wa kujitolea, (wakiwemo madaktari bingwa) kutoka Uturuki waliokuja nchini kwa ajili ya kutoa huduma mbali mbali za tiba katika hospitali kuu ya Mnazimoja.Madaktari hao katika nyanja mbali mbali, walikuwa nchini kwa kipindi cha wiki mbili na kusaidia utoaji wa huduma mbali mbali za tiba na uchunguzi kwa wagonjwa wa moyo,mifupa na maradhi ya wanawake sambamba na kuendesha mafunzo ya utoaji huduma katika mazingira ya dharura kwa wafanyakazi wa Hospitali hiyo.Mbali na shughuli hizo pia madaktari hiyo walifika kisiwani Pemba ambako walitoa msaada wa vyandarua.Maalim Seif amesema kwa kipindi kirefu sasa, Serikali ya Uturuki imekuwa ikiisaidia Zanzibar katika sekta ya Afya kwa kutoa nafasi za masomo pamoja na madaktari kusaidia huduma za afya nchini.Alisema ili kupanua wigo wa ushirikiano, Serikali ya Zanzibar inakusudia tafanya mazungumzo na nchi hiyo ili itowe fursa zaidi za mafunzo na hatimae Zanzibar iweze kuwa na madaktari wa kujitosheleza.Alisema Serikali ya Zanzibar pia itaiomba Uturuki kuwa na utaratibu utakaowezesha madaktari wake kuja Zanzibar kila mwaka, kwa ajili ya kutoa huduma za tiba na kuendesha mafunzo kwa madaktari wazalendo, kama zilivyo nchi za China na Cuba, ambazo zimekuwa na utaratibu wa aina hiyo.Aidha alisema hatua inayoendelea hivi sasa,kwa madaktari kutoka nchi hiyo kuja nchini na kutoa huduma kupitia NGO, kufuatia ushawishi uliofanywa na Jumuiya ya Wazanzibar waliosoma katika vyuo vikuu vya nchi hiyo, haina budi kupata msukumo kutoka Serikali kuu, kusimamia jambo hilo.Alisema ujio wa madaktari hao umeiwezesha Serikali kuokoa fedha nyingi za kigeni ambazo zingepasa kutumika kusafirisha wagonjwa nje ya nchi kwa matibabu, lakini pia mafunzo yaliyotolewa yamewajengea uwezo na kuwapa mbinu mpya madaktari wazalendo.Aliwapongeza madaktari hao kwa kujitolea na kutumia muda wao wa likizo pamoja na kutoa fedha mifukoni mwao kwa ajili ya kuwasaidia ndugu zao, hatua aliyosema inadhihirisha uhusiano mwema uliopo kati ya watu wa nchi mbili hizo.
Alisema watu wa nchi mbili hizi wanakabiliwa na tatizo kubwa la mawasiliano ya lugha na kutoa rai kwa raia wa Zanzibar kujifunza Kituruki sambamba na Waturuki nao kujifunza Kiswahili,akiainisha wepesi uliopo katika kujifunza lugha hiyo (Kiswahili).Mapema akitoa ufafanuzi juu ya shughuli zilizoendeshwa na Madaktari hao, Kiongozi wa Jumuiya ya Wazanzibari waliosoma vyuo vikuu nchini Uturfuki Dr. Abdurahman alisema moja ya jambo kubwa lililofanywa an madaktari hao walipokuwa nchini ni kuendesha operesheni mbili za mifupa ambazo kama zingelifanyika nje ya nchi zingeiharimu zaidi ya shilingi Milioni tano kila moja.Lakini pia kikundi hicho cha madaktari kinalenga kuendesha matibabu nchini Uturuki kwa wagonjwa wanne wa maradhi ya moyo, ambapo Serikali ya Zanzibar italazimika kugharamia nauli ya kwenda na kurudi kwa wagonjwa hao.

Thursday, July 28, 2011

WAZENJI MUNAO TAKA KUOWA WATANGANYIKA FIKIRIENI KWANZA



Kudaadeki! Watanganyika wanaendelea kufanya mambo ya kutisha, tukio la dereva wa malori, Asajile au kwa jina maarufu ‘White’ kufanya uchafu na wake za watu, na nidhambi kubwa ila sio kwa dereva huyu ilikuwa ni raha na faraja kwake kuwafanya uchafuu huu na wake za watu tena sio moja mbali wawili kwa wakati moja bila ya wasi wasi kama unavyo waona hapo wanavyo kula raha za dunia.
mwandishi wetu,alizinasa picha ambazo zinamuonesha White akifanya vitendo vichafu na wanawake wawili, Janet na Sikuzani ambao imethibitika ni wake za watu wote wa wili.Chanzo chetu cha habari kimepasha kuwa White aliwapa Janet na Sikuzani fedha, kisha kwenda nao kwenye gesti moja iliyopo Manzese, Dar es Salaam ambako walifanya ufuska wao na kuanza kupiga picha hizi.pia Janet na Sikuzani ni wafanyakazi wa hoteli moja iliyopo Kata ya Manzese, Dar es Salaam na kwamba wanawake hao walishawishika baada ya kuhongwa shilingi 20,000 kila mmoja.“Janet ameolewa kwa ndoa kabisa, yeye na mume wake wanaishi Magomeni tangu walipofika mjini, wakitokea kijijini kwao Usoke, Tabora miaka mitatu iliyopita. Huyo Sikuzani anaishi na mwanaume wake Tip Top, Manzese kwa miaka mingi sasa, kwa hiyo naye ni mke wa mtu,“Ni aibu, wake za watu wanashawishika kufanya hayo mambo kwa tamaa ya fedha, tena hela yenyewe shilingi 20,000, aibu sana. Huyo White aliwaambia kuwa wanapiga picha kwa faida yake ili awe anawakumbuka. “Eti anataka kuweka kumbukumbu. Hao wanawake wenyewe sijui ni ushamba au uroho wa fedha, wakakubali kufanya huo uchafu na kupiga picha kama unavyoziona hii ndio tanganyika.”          MSAKO WA WATUHUMIWA.Baada ya kupata tuhuma kamili za watu hao, sisi tulingia kazini na kuwasaka, wa kwanza kupatikana alikuwa ni White ambaye alipooneshwa picha alikuwa mbogo: “Wewe hizo picha umezipata wapi? Hizo ni kwa ajili yangu mwenyewe, hao wanawake wana waume zao, mtanitafutia matatizo hiyo habari ikitoka alisema white.”White, aligoma kutoa ushirikiano kuhusiana picha hizo, badala yake alitaka aambiwe mahali ambapo mwandishi wetu alizipata.Janet alikutwa kazini kwake Jumatatu (juzi), alipooneshwa picha alisema: “Sijui itakuwaje mume wangu akiona. Ila nyie wadaku mnapenda sana kufuatilia maisha ya watu. Andikeni hiyo habari halafu nitawaonesha kuwa mimi ni mtoto wa Kinyamwezi. ”anajaribu kutisha watu kwa kutumiya kabila hajuwi ni mambo ya kizamani hahahahaha.Sikuzani hakuweza kupatikana mpaka tunaondoka na kurundi mtamboni.KUHUSU MAADILI JE HAYA NDIO MAADILI YENU WATANGANYIKA..?Huu ni uchafu kufanywa na watu. Inawezekana White ameona sawa lakini vipi kwa wanawake hao ambao ni wake za watu AU NDIO MUMEZOWEA KUNYUKANA WAKE ZENU NDIO MAANA.? Ni vizuri Watanganyika hata UKIMWI HAMUUWOGOPI MUNANYUKA TU WAKE ZAWATU NA HAO WAKE ZAWATU MIGUU YAO HAIFUNGIKI IWEZI KILA MWANAMUME WAMUONAYE UDENDA WA CHINI UNAWATOKA WANATAKA AWENYUKI DUUUUUUUH,BASI MKAE MKIJUWA KUWA UKIMWI upo na bado unaendelea kuchanua, mpaka sasa hakujawa na tiba ya uhakika.

WARIOBA AROPOKA NA KUTAMANI KUTURUDISHA KTK ENZI ZA UDIKTETA WA NYERERE

WAZIRI Mkuu mstaafu, Joseph Warioba, amesema tatizo la Muungano linasababishwa na mamlaka zinazogombea madaraka na si wananchi.
Warioba ambaye alikuwa akizungumza kupitia Televisheni ya Taifa (TBC), alisema kuwa muungano uliopo bado ni imara lakini wanaohitaji madaraka ndiyo wanaoufanya uonekane na matatizo.
Alisema wale wanaogombea madaraka wanapaswa kuchukua hatua ili isifike sehemu matatizo hayo yakawaletea shida wananchi.Warioba alisema wapo baadhi yao wanatoa sababu kuwa kuanzishwa kwa serikali tatu kunaweza kumaliza kero ya muungano, jambo alilosema kuwa halina ukweli wowote.
Kwa mujibu wa Warioba, uwepo wa serikali mbili malalamiko yanaendelea kujitokeza kila kukicha, hivyo alishauri kuwa wanaohitaji serikali tatu wasijidanganye kuwa zikianzishwa kero za muungano hazitakuwepo tena.“Wapo wanaohitaji serikali tatu na kwamba wanaona hilo ndilo jawabu, hawajiulizi juu ya je serikali tatu hazitakuwa na changamoto zake? Na kama zikija, hizo changamoto zinamalizwaje,” alihoji Warioba.
Akizungumzia kuhusu Bunge, Warioba alisema Bunge la sasa limeanza vibaya na halitoi mfano mzuri, hata lugha inayotumiwa na viongozi hao alidai sio ya staha bali ni ya kukejeliana.Alisema Bunge limekuwa la fujo, hatua inayowafanya wananchi mitaani kuambiana kuwa iwapo unahitaji burudani basi ni bora uangalie Bunge.
“Wananchi wanaambiana kuwa kama unataka burudani angalia Bunge maana unakuta malumbano hata vyama vilivyopo huoni msimamo wake…sijui linaonyesha mfano gani, lazima wachukue hatua,” alieleza.
Warioba alisema kuwa anaamini wabunge watakuwa wamesikia maoni ya wananchi, hivyo wanachotakiwa ni kutumia vizuri kanuni ili kurudisha nidhamu iliyopotea.Alisema Bunge lazima lichukue maamuzi magumu pamoja na kufuata maadili na ikiwa watafanya hivyo, alisema watarudisha hamu kwa wananchi ya kulitazama Bunge hilo.Waziri Mkuu huyo mstaafu alisema wakati wa chama kimoja wananchi walikuwa wanapenda kipindi cha Bunge kwani walitenga muda wao na kusikiliza kupitia redio, bali kwa sasa teknolojia imekuwa hivyo wanajua kinachoendelea.Alisema pamoja na kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi, lakini Bunge limeweza kufanyakazi nzuri, kwa madai kuwa matatizo ya nchi ni magumu lakini Bunge la mfumo huo limejitahidi.
HILI ZEREE LINAWACHA KUKA NYUMBANI NA WAJUKUU ZAKE LIMO KWENYE TV KUROPOKA MAMBO YASIYOKUWA NA MAANA ATI BUNGE LA ZAMANI HAPO ZAMANI WEWE MWENYEWE SIKUWAHI HATA SIKU MOJA KUKUSIKIA UKISAMA NYOTE MULIKUWA MUKIMUABUDU NYERERE NA NDIO MPAKA LEO NCHI IMEOZA SASA Z;BAR ITAJIKOMBOWA NA SIO VIONGOZI WANAOTAKA MUUNGANO UFE NI SISI RAI NA TUNASEMA KWA SAUTI HATUTAKI MUUNGANO NA NYINYI NA HUU SIO MUUNGANO IMARA KAMA UNAVYO FIKIRIA WEWE AU UNAMANISHA NI IMARA KWA KUWA KUNAMAJESHI WENGI MULIOWAJAZA Z;BAR UNAONA NI IMARA WAZENJI HATUJAA AMUWA BADO ILA TUKIAMUWA BASI MUJUWE HAKUNA CHA JESHI WALA POLISI NYOTE MUTAIYONA NCHI CHUNGU AU MUME SAHAU MULIVYOCHAPWA NA WAGANDA MPAKA MKAJA KUCHUKUWA JESHI LETU LA NYUKI ZENJI NDIO MUKANUSURIKA BASI FUNGA DOMO LAKO KAA NA WAJUKU ZAKO UCHEZE NAO USUBIRI SIKU YAKO YAKUFA UFE TUKUZIKE USIJITUMBUKIZE NDANI YA SIASA UMEPITWA NA WAKATI WARIOBA.

Wednesday, July 27, 2011

KATIBU MWENEZI WA CCM Z;BAR,ISSA HAJI GAVUUUU AZUKA NA UNAFIKI WAKE HUKU AKIJARIBU KUWAGAWA WAZENJI KWA KUTUMIYA UCHAMA


 SISI WAZENJI WOTE NI KITU KIMOJA HAKUNA TENA CCM WALA CUF BALI KUNA UZENJIBAR BASI SASA WEWE GAVU,KAVU,VUKUTU USITULETE SERE ZAKUTAKA KUWATENGANISHA WAZENJI KWA KUTUMIYA UCHAMA UCHANGUZI WA 2010 WALIYOSHINDA NI WAZANZIBAR SIO CHAMA SASA WEWE KAVU KAMA HUNA LA KUSEMA NYAMAZA AU UJUWE NYOTE WANAFIKI TUNAWAREKODI SIKU ZNZ IKIPATA UHURU WAKE BASI NYOTE MUWE KULEE TANGANYIKA KWA WANAFIKI WENZENU MUKIBAKI HAPA MUMEKWISHA TUNAWAMBIYENI KABISA NA MIKONO YETU IMEUNGANA NA KUWAZOMEYA NYINYI WANAFIKI VIBARA WA WATANGANYIKA.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimeahidi kuendelea kutetea muundo wa serikali mbili katika sura ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar, Issa Haji Gavu, alisema kushindwa kutetea sura ya sasa ya Muungano ni kwenda kinyume na sera na ilani ya uchaguzi ya chama hicho.Gavu alisema chama chake kinaamini sura iliyopo ya Muungano inazidi kuungwa mkono na wananchi wengi na ndio maana kikashinda Uchaguzi Mkuu mwaka jana.Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya vipeperushi kusambazwa mjini Zanzibar kumtaka Waziri wa Kilimo, Mansour Yusufu Himid, kujiuzulu kwenye nyadhifa zake baada ya kuunga mkono Muungano wenye muundo wa serikali tatu.
Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi, makazi, Maji na Nishati, Mansour ambaye ni mjumbe wa NEC na Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi ya CCM Zanzibar, alisema Muungano wa sasa ni butu na wakati umefika wa kuangalia mwelekeo wa serikali tatu.Katibu huyo Mwenezi wa CCM aliwaambiwa waandishi wa habari kuwa viongozi wanaodai serikali tatu wanapingana na sera na ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
“CCM itaendelea kulinda na kutetea muundo wa serikali mbili katika mfumo wa Muungano kwa sababu sera hiyo ndiyo iliyotupatia ushindi katika uchaguzi mkuu mwaka jana,” alisema Gavu.Alisema kwa msingi huo wanachama na viongozi wanatakiwa kusimama imara kutetea serikali ya serikali mbili, lakini kila mwananchi atakuwa na uhuru wa maoni utakapofika mjadala wa Katiba mpya.Kuhusu mpango wa CCM wa kusafisha chama, Gavu alisema kujivua gamba hakumaanishi kuwafukuza viongozi, bali ni kuwataka kujisafisha na kurudi katika maadili ya uongozi.“Dhana ya kujivua gamba ndani ya Chama cha Mapinduzi haina maana kujiuzulu au kuwafukuza watu katika chama, watu hawakumwelewa Mwenyekiti wetu, lengo ni kujisafisha nakurudi katika maadili ya uongoz,i” alisema Gavu.Hata hivyo, alisema viongozi ambao watashindwa kujirekebisha kutokana na vitendo vyao watalazimika kujiondoa katika chama ili kufanikisha kuimarisha chama hicho.Hata hivyo, alisema mpango wa viongozi kuvua gamba unatakiwa kutekelezwa kwa watendaji na viongozi wanaoshutumiwa Tanzania Bara na Zanzibar kwa sababu tayari chama kimepitisha azimio hilo